sheria

  1. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  2. JamiiForums Tanzania Je, sheria ya makosa ya kimtandao hapa kwetu Tanzania ni sheria kandamizi?

    Natoa angalizo mapema kabisa mimi sio mtaalamu wa masuala ya sheria. Ila nimeuliza hili swali nipate msaada. The Cyber crimes Act,2015 .Ni sheria kandamizi? Kwa sababu ni wazi kabisa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni umewekwa wazi katika katiba ya JMT ibara ya 18 kujieleza huku katika katiba ya...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria kwa nyumba iliyoungua moto

    Habari zenu wadau:- Kuna nyumba ya jamaa wangu, imeteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme, kutokana na ajali hiyo, nyumba na vitu vyote vimeteketea. Je naweza kuanzisha kesi ya madai? Naomba muongozo jinsi ya kuanzisha kesi ya madai kwa TANESCO.
  4. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na balaa la FFU? Tupeane mawili matatu

    Je, hawa jamaa wako juu ya sheria? Maana huwa wanafanya chochote wakati wowote. Kuna siku nilikutana nao barabarani jioni wanawahi sehemu, wanapita upande ambao sio wao, yaani wanapita ule upande wa magari yaendayo Gongo la Mboto kutoka Tazara. Sasa wao wapo vice versa, nikakataa kuwakwepa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yafanya toba kwa mabeberu. Yatunga sheria ya kurudisha ardhi iliyoporwa na utawala wa Mugabe.

    Zim to give back farms taken under land reform programme 20:20 10/03/2020 Crecey Kuyedzwa Zimbabwe has announced plans to give back land controversially taken over under its controversial fast track land reform programme, which started in 2000. The programme, which was criticised for being...
  6. JamiiForums Tanzania Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu sheria namba tatu ya FIFA inayohusu idadi ya Wachezaji Uwanjani

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa timu yoyote ina Wachezaji chini ya 7 Kiwango cha juu cha kubadili Wachezaji wakati wa mechi kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Mbili ya FIFA inayohusu Mpira wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au malighafi yoyote inayofaa Mwanzo wa mechi, mpira unatakiwa uwe na uzito usiopungua Gram 410 na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sheria ya sasa ya mifuko ya kijamii ikoje?

    Eti wana JF, naomba kuuliza sheria inasemaje endapo mtu ameacha kazi halafu anahitaji pesa yake? mimi nilikuwa sekta binafsi pesa yangu ilikuwa NSSF lakini nimeingia serikali pesa yangu inakwenda PSSSF. Sasa nilikwenda kudai hela zangu wakasema hawawezi kunipa kwa kuwa nimeacha mwenyewe...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Moja ya FIFA inayohusu Uwanja wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi ya Kijani Uwanja wa kuchezea lazima uwe wa umbo la Msatili ukiwa umewekewa alama za mipaka kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi:Kati ya mikaba na sheria ya ardhi,kipi hutumika kuamua migogoro/mashauri yanayohusu ardhi katika vyombo vya kutoa haki?

    Hivi katika utatuzi wa migogoro ya ardhi au mashauri ya ardhi katika vyombo vya kutoa haki(mabaraza ya ardhi na mahakama) kipi hutumika katika kufanya maamuzi? Kwa maneno mengine,inapotokea mikabata ya watu kuuziana ardhi au watu kuweka ardhi rehani ili kupata mkopo,n.k na baadae ukaibuka...
  11. JamiiForums Tanzania Je, sheria inaruhusu kumuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha anayewakimbia Polisi?

    Yaani tuchukulie mtuhumiwa wa ujambazi amekamatwa na Polisi, halafu wakati anawapeleka mafichoni kwa wenzake akaanza kuwakimbia Polisi huku akiwa hana silaha yoyote na akipiga makelele. Je, kuna uhalali/ulazima wowote wa kumpiga risasi ya mgongoni na kumuua? Je, ndugu zake wanaweza kudai fidia...
  12. JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za usajili wa laini za simu: Masuala muhimu ya kujua

    Kanuni mpya za usajili wa Laini za Simu za mwaka 2020 zimetangazwa kwenye Gazetti la Serikali la tarehe 7 February, 2020 kama Tangazo la Serikali No. 112 la 2020. Jina fupi (short title) la Kanuni hizo ni the Electronic and Postal Communications (SIM Card Registration) Regulations, 2020...
  13. JamiiForums Tanzania Kiwanja changu kimekaa kama sambusa, ninapanga kumega eneo la jirani kiwe square. Sheria inasemaje kuhusu hili?

    Kwa kweli siridhiki kuona kiwanja changu kimekaa kama sambusa.. Natamani kiwe square kama kiwanja cha mpira. Sasa ili 'kuboresha mipango miji' ninapanga kumega kama mita moja kutoka kwa jirani ili kikae sawa. Hapa ninakusanya nguvu ya tofali elfu mbili.. Nikija kuibuka naibuka na ukuta mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

    Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop. Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu). Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

    Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini 1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya...
  16. JamiiForums Tanzania Sheria: Upelelezi usipokamilika ndani ya siku 60 mshatakiwa kuachiwa huru

    Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu namba 225 (4) inasema Upelelezi usipokamilika ndani ya siku 60 mshatakiwa kuachiwa huru. Hiki ni kitu ambacho hakitekelezwi ipasavyo na mahakama na baadhi ya watuhumiwa wamekuwa wakikaa muda mrefu mahabusu Hayo yameelezwa Februari 10, 2020 na wakili...
  17. JamiiForums Tanzania NEC: Tume ya Uchaguzi iliyo ipo huru kwa mujibu wa Sheria

    Faraja Masinde, Dar es salaam TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeujibu Ubalozi wa Marekani nchini kuhusu kuanzishwa kwa tume huru, ikisema ushauri uliotoa ni mawazo yao na kwamba tume iliyopo ni huru kwa mujibu wa sheria. Januari 31 mwaka huu, Ubalozi wa Marekani nchini ulimpongeza Rais Dk...
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Dr. Rugemeleza A.K. Nshala katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria

    #WikiYaSheria2020 TAREHE 6, FEBRUARI, 2020 UKUMBI WA KIMATAIFA WA MAKONGAMANO WA MWL. JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM Ndugu Mh. Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mh. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahimu Juma, Mh. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi...
  19. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Sheria: Rais Magufuli adai hata yeye mshahara haumtoshi, awaasa wapelelezi kuharakisha upelelezi

    Hotuba ya jaji mkuu Majaji wanne wanatarajiwa kustaafu mwaka huu, mwaka jana majaji 5 walistaafu. MAHAKAMA imeweka kipaumbele kwenye mashauri yanayoweza kuchochea uchumi wa viwanda, kama mashauri ya biashara na uhujumu uchumi. Mahakama kuhakikisha Mashauri ya uhujumu uchumi yanashughulikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya Sheria Tanzania: Ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuwe na utengamano wa kisheria na mfumo wa haki unaheshimiwa

    Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rugemeleza Nshala amesema ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuhakikisha kuna utengamano wa kisheria na mfumo wa haki unaheshimiwa. Nshala ameyasema hayo leo Alhamisi Februari 6, 2020 katika maadhimisho ya siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…