Ulishawahi kukutana na balaa la FFU? Tupeane mawili matatu

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,414
6,576
Je, hawa jamaa wako juu ya sheria? Maana huwa wanafanya chochote wakati wowote.

Kuna siku nilikutana nao barabarani jioni wanawahi sehemu, wanapita upande ambao sio wao, yaani wanapita ule upande wa magari yaendayo Gongo la Mboto kutoka Tazara. Sasa wao wapo vice versa, nikakataa kuwakwepa, balaa nilipata mimi.

Nilitukanwa matusi na makofi nikala tena jamaa alikuwa amevaa mask usoni. Je, ulishawahi kukutana na mikasa ya FFU?

Share nasi hapa.
 
Ili uwe FFU unatakiwa uwe yatima kisha kichwa chako kiwe na bangi ya asili kabisa pia uwe na uchizi Kama asilimia hamsini halafu sifa zingine za uaskari zinafuata. Nakumbuka siku moja nipo Town kariakoo nanunua bidhaa nikasikia king'ola chao kinajamba kama Lori kisha kuna mdada anatangaza kuwa watu wote waliokuwa pale watawanyike .Mara wakaruka mijamaa imejifunika usoni maski ikasema kikosi cha virungu shambulia Yaani Nilipigwa rungu ya bega kisha tumbo .Nikaona nyota kisha giza totoro ile nashifuka najikuta nipo mnazimoja hospitali na pingu mkononi imeunganishwa kwenye kitanda na polisi wa kirai amekaa pembeni yangu. Nolipozinduka yule polisi akamwambia nesi nimepona .Yaani nilibebwa mzobe mzobe mpaka msimbazi polisi bahati nzuri akaja mkubwa wao akasema tuachiwe kwa dhamana . Naona mpaka leo bega langu halijaponaga. .NIKIONA KOFIA NYEKUNDU NAPITA MBALI SANA WALE SIYO WATU NI MICHIZI SANA YAANI SIKUWA NAJUA KINACHOENDELEA LAKINI WAKANISHAMBULIA. BAADAE NILIGUNDUA KUMBE HARAKATI ZA WAISLAM NA SHEKHE PONDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu!!!hao jamaa wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi huwa wanabonda tu sehemu yoyote sasa hapo walikupiga sehemu nzuri begani bado unahisi bega halijakaa poa je wangekupiga sehemu mbaya kama mbavu au kichwani ingekuwa hatari sana.
 
Ili uwe FFU unatakiwa uwe yatima kisha kichwa chako kiwe na bangi ya asili kabisa pia uwe na uchizi Kama asilimia hamsini halafu sifa zingine za uaskari zinafuata. Nakumbuka siku moja nipo Town kariakoo nanunua bidhaa nikasikia king'ola chao kinajamba kama Lori kisha kuna mdada anatangaza kuwa watu wote waliokuwa pale watawanyike .Mara wakaruka mijamaa imejifunika usoni maski ikasema kikosi cha virungu shambulia Yaani Nilipigwa rungu ya bega kisha tumbo .Nikaona nyota kisha giza totoro ile nashifuka najikuta nipo mnazimoja hospitali na pingu mkononi imeunganishwa kwenye kitanda na polisi wa kirai amekaa pembeni yangu. Nolipozinduka yule polisi akamwambia nesi nimepona .Yaani nilibebwa mzobe mzobe mpaka msimbazi polisi bahati nzuri akaja mkubwa wao akasema tuachiwe kwa dhamana . Naona mpaka leo bega langu halijaponaga. .NIKIONA KOFIA NYEKUNDU NAPITA MBALI SANA WALE SIYO WATU NI MICHIZI SANA YAANI SIKUWA NAJUA KINACHOENDELEA LAKINI WAKANISHAMBULIA. BAADAE NILIGUNDUA KUMBE HARAKATI ZA WAISLAM NA SHEKHE PONDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu duniani tunapita tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutana nao Posta Mpya miaka ya nyuma nilisahau kabisa kama siku ile tuliambiwa Ile sehemu iwe nyeupe, nafika posta nasikia sauti inatokea Samora "watu wote tawanyika" wabongo tuna mbio Semenya nyuma, kuchangikiwa nikakimbilia zilipo defender zao natupa jicho nawaona duuh sina jinsi ikabidi niwavuke hivyo hivyo sijui daladala nilipandia wapi nijikuta nipo kwenye daladala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, hawa jamaa wako juu ya sheria? Maana huwa wanafanya chochote wakati wowote.

Kuna siku nilikutana nao barabarani jioni wanawahi sehemu, wanapita upande ambao sio wao, yaani wanapita ule upande wa magari yaendayo Gongo la Mboto kutoka Tazara. Sasa wao wapo vice versa, nikakataa kuwakwepa, balaa nilipata mimi.

Nilitukanwa matusi na makofi nikala tena jamaa alikuwa amevaa mask usoni. Je, ulishawahi kukutana na mikasa ya FFU?

Share nasi hapa.
Hayatuhusuuuuuuuuuu
Pambaanaa na haliyakook
 
Hao jamaa bhana! Siku moja nikiwa kwenye mkutano fulani mara wakatinga nikatoka mbio balaa mpaka kwenye gari. Bhana bhana wee kumbe kuna mmoja alikuwa ananifata nyuma ili aniweke marungu, akaja na kusimama mbele ya gari hamadi mara kioo cha mbele kinavunjwa kwa wenge nililokuwa nalo nilijikuta namvaa mzima mzima kucheki kwenye mirror namuona jamaa anatua chini kama mzoga. Hiyo siku kwa mawenge kidogo nipate ajali mbaya sana kwa speed niliyokuwa nayo. Sitasahau!!!

Ikawaje baada ya hapo, walikutafuta?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hao jamaa bhana! Siku moja nikiwa kwenye mkutano fulani mara wakatinga nikatoka mbio balaa mpaka kwenye gari. Bhana bhana wee kumbe kuna mmoja alikuwa ananifata nyuma ili aniweke marungu, akaja na kusimama mbele ya gari hamadi mara kioo cha mbele kinavunjwa kwa wenge nililokuwa nalo nilijikuta namvaa mzima mzima kucheki kwenye mirror namuona jamaa anatua chini kama mzoga. Hiyo siku kwa mawenge kidogo nipate ajali mbaya sana kwa speed niliyokuwa nayo. Sitasahau!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana ulimgonga? Hakufa?
 
hiyo picha ya mtoto analia inanikumbushaga mbali sana..(inafanana na mimi kipindi kile bado mtoto)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uwe FFU unatakiwa uwe yatima kisha kichwa chako kiwe na bangi ya asili kabisa pia uwe na uchizi Kama asilimia hamsini halafu sifa zingine za uaskari zinafuata. Nakumbuka siku moja nipo Town kariakoo nanunua bidhaa nikasikia king'ola chao kinajamba kama Lori kisha kuna mdada anatangaza kuwa watu wote waliokuwa pale watawanyike .Mara wakaruka mijamaa imejifunika usoni maski ikasema kikosi cha virungu shambulia Yaani Nilipigwa rungu ya bega kisha tumbo .Nikaona nyota kisha giza totoro ile nashifuka najikuta nipo mnazimoja hospitali na pingu mkononi imeunganishwa kwenye kitanda na polisi wa kirai amekaa pembeni yangu. Nolipozinduka yule polisi akamwambia nesi nimepona .Yaani nilibebwa mzobe mzobe mpaka msimbazi polisi bahati nzuri akaja mkubwa wao akasema tuachiwe kwa dhamana . Naona mpaka leo bega langu halijaponaga. .NIKIONA KOFIA NYEKUNDU NAPITA MBALI SANA WALE SIYO WATU NI MICHIZI SANA YAANI SIKUWA NAJUA KINACHOENDELEA LAKINI WAKANISHAMBULIA. BAADAE NILIGUNDUA KUMBE HARAKATI ZA WAISLAM NA SHEKHE PONDA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah pole mkuu
 
Back
Top Bottom