sheria

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Nasi tuige Bunge la Marekani kutunga sheria kuzuia Rais kutoa misamaha ovyo, na kushitakiwa kama raia yeyote wa Marekani. Hakuna aliye juu ya Sheria

    Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump. 1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe. 2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka Rais hawezi...
  2. Bradson

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2020 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2020, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Sanjari na uchaguzi huo, JKT limewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa mafunzo na wanatakiwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wakumbusheni Watanzania madhara ya wabunge wa CCM yakiwemo kubariki (makato makubwa ya Bodi ya Mikopo, kuunganisha Mifuko, kikokotoo kipya)

    Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
  4. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda anyimwa Dhamana, kisa Waraka. Hivi Kuandika Waraka kwa Sheria za Tanzania ni Kosa?

    Zaidi, soma: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Sheria kama hii haiwezi kufikiriwa kutungwa Nchini Tanzania kwani tumechoka kupatwa na 'Vinyaa' kila wakati?

    Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike (Pedi/Sodo) Mitaani. Vile vile hata ikitokea Taulo hizo zimekutwa Nyumbani kwa Mtu au Mtaani basi...
  6. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Tuunde Sheria mpya ya Ndoa kwa mtindo huu ili kuepuka upweke

    LET US CREATE NEW LAW IN BREAKING MARRIAGE or MARRIAGE TO BE COME DIVORCED ITSELF AFTER SEPARATION. Hey, my Funs to day DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Affair Advisor giving you some points to show that a Marriage has already broken in Law an Fact due to one party...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waraka wa shehe Ponda ni zile takwimu hazina uhakika na ni kinyume na sheria

    Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana. Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria. Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata. Kwanza Tanzania...
  8. Segekid

    JamiiForums Tanzania Sheria na utaratibu baada ya mtumishi wa Serikali kufariki

    Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah. Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi. Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
  9. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheria zinazozuia matusi katika Uchaguzi Mkuu ni zipi?

    Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa wametukana watawezaje kuthibitishwa? Je, haiwezekani mtu akamtuhumu mshindani wake katukana ili asiwe...
  10. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Bernard Membe, vyombo vya usalama na ulinzi havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria?

    Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo. Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, unayajua mamlaka ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015)

    1: Kifungu cha 31: Polisi au watekelezaji wa sheria wanaweza kutoa amri inayoruhusu kuingia, kupekua, au kutwaa vifaa na mifumo ya kompyuta, na kutwaa data au taarifa zilizohifadhiwa kwenye kompyuta Wanaweza kufanya hivyo iwapo watajiridhisha kwamba kuna sababu za msingi kuamini kwamba mfumo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

    Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika. Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  14. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Uadilifu Malawi: Mwanasheria aliyemsaidia Rais Chakwera kushinda kesi ya uchaguzi akataa uteuzi wa kuwa Waziri wa Sheria na Haki

    Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera. _ Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais Chakwera kushinda kesi dhidi mpinzani wake (Mutharika), ambaye anadaiwa aliiba kura kwenye uchaguzi...
  15. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania TCRA yatolea ufafanuzi sheria ya umiliki wa laini moja iliyoanza kutumika leo

    Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali. Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja...
  16. Darren2019

    JamiiForums Tanzania Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

    Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje suala hili?

    Naomba kujua sheria zinasemaje, Kuna uchunguzi wa polisi ulifanyika, baada ya malalamiko. Jalada likaenda kwa DPP ofisi ya Wilaya husika ambaye akaagiza, mtuhumiwa ambaye ni Mbunge ahojiwe na Polisi, na kuchunguza nyaraka zake. Huyu Mheshimiwa anakwepa kwepa kwa kuandika barua sehemu...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania DRC: Kukamatwa kwa Waziri wa Sheria kwaleta tishio la kuvunjika kwa Serikali ya Mseto

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amepinga kitendo cha kukamatwa kwa waziri wa sheria, akisema serikali ya mseto inaweza kuvunjika juu ya suala hilo na kumtaka rais kuwahakikishia mawaziri utetezi wa kisheria. Waziri wa Sheria Celestin Tunda alikamatwa na polisi Jumamosi...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

    Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Jeshi la Polisi juu ya vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari (2016)

    Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza. Mamlaka ya Polisi...
Back
Top Bottom