sheria

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Uzuiaji wa mikutano ya kisiasa na sheria ya habari je zimetusaidia chochote ?

    Je kwa mawazo yako hizi sheria za habari ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na kusababisha waandishi wa habari na wanasiasa wengi kufunguliwa kesi zimesaidia nchi yetu kwa miaka minne sasa?. Vilevile uzuiaji wa mikutano kwa wapinzani Je imeleta amani yeyote na imesaidia chochote?. Tuliambiwa kufanya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge lajadili mabadiliko ya sheria kujusu dhamana ya kesi za uhujumu uchumi

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema kwa kuwa kesi za uhujumu uchumi hazina dhamana ipo haja sasa kwa wabunge na Bunge kutunga sheria ya marekebisho na kubadilisha pale ambapo itaona panafaa. Hayo ameyabainisha leo Januari 30, 2020, Jijini Dodoma, kwenye...
  4. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Bunge, mkutano na kikao kwa mujibu wa sheria

    Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nikiwa kwenye daladala zinazoenda Mwenge nimekuta kuna mtu anamsimulia mwenzake utofauti uliopo kati ya kikao na mkutano kwenye masuala ya Kibunge. Lakini aliyekuwa akizungumza niligundua naye hanaufahamu wa kutosha juu ya dhana hizi. Hata hivyo nikiwa nasubiri...
  5. bahati93

    JamiiForums Tanzania Alichosema John Locke kuhusu sheria na haki

    Habari my comrades Kuna maneno mengi sana yanasemwa na mwanadamu kuhusu namna mbalimbali ndani ya jamii zetu, Lakini kuna sentensi zilizosemwa ambazo zitabaki na sisi wanadamu muda wote ambao tutakuwa wakazi kwenye hii sayari yetu ya tatu kutoka nyota jua. Mwanadamu kiumbe ambacho kazi yake...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

    Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam. Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia...
  7. Justine Kakoko

    JamiiForums Tanzania Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti?

    Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti? Yaani Baba ana kanuni na taratibu hii, Mama ana kanuni na taratibu hii. Yapi maoni yako?
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kumuweka mtu mahabusu (ndani) haitumiwi vibaya?

    Nimekuwa nikisikia na kuona watu wenye dhamana kubwa wakiwaamuru polisi wawakamate na kuwaweka ndani watu ambao hawakimbii, hawaleti fujo na wala hawatishii usalama wa watu wengine. Wanaagiza watu hao wakamatwe kwasababu tu wamechelewa kumalizia kazi waliyopewa kwa muda waliopewa. Hivi watu...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Papa Benedict amemtaka Papa Francis kutolegeza kamba kuhusu sheria ya useja

    Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki Papa Benedict wa 16 ametetea suala la makasisi kutofunga ndoa wakati ambapo mrithi wake anafikiria kulegeza marufuku hiyo kwa wanaume wanaooa ambao wanahudumu kama makasisi. Papa Benedict amesema hayo katika kitabu walichoshirikiana na Kadinali Robert Sarah...
  10. The Alchemist

    JamiiForums Tanzania Learn the Law: Nini kilitangulia kati ya makosa na sheria

    Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili; 1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia? 2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria? 3) Legitimacy ya sheria inatoka wapi?
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuja na sheria ya adhabu za papo kwa papo kwa madereva ili kupunguza ajali za barabarani

    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kutunga Sheria ya Adhabu ‘’papo kwa papo’’ ili kudhibiti ajali, ambazo zimekuwa zikisababisha vifo vya wananchi wengi wa Zanzibar. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mustafa Aboud Jumbe wakati...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni wakati sasa Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuruhusu mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa

    Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa. Chanzo: ITV Habari Maendeleo hayana vyama!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wagombea waliopitia JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kwa hiari kupewa kipaumbele kura za maoni CCM

    Ukiondoa uzalendo binafsi ambao mtu huzaliwa nao uzalendo mwingine hupatikana kwa njia ya mafunzo yatolewayo katika Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT. Inasemekana kupitia tetesi kwenye korido za Lumumba kwamba zamu hii kulitumikia jeshi la kujenga taifa itakuwa ni kipimo cha uzalendo wako...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

    Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja . Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha Hayo yamesemwa na Makamu...
  15. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania DC Sabaya abadili matumizi ya fedha ya mfuko wa Jimbo la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya, amezuia Sh. 42 milioni za mfuko wa Jimbo la Hai na kuagiza kati ya fedha hizo Sh. 7 milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni iliyopo kata ya Mnadani wilayani humo. Fedha hizo za mfuko...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    Tito ambaye ni Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) inadaiwa ametekwa maeneo ya Mwenge, Jijini Dar Yaelezwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia ambao walimfunga pingu kabla ya kuondoka naye Watu hao walikuwa kwenye gari aina ya Harrier. Taarifa za awali kuhusu...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    Kuna mtu niliingia naye mkataba wa kunikodisha chumba cha kufanyia biashara, chumba kilikua hakijakamilika kimatengezo kwahiyo akaniomba fedha kwa ajili ya kukamilisha matengenezo tukakubaliana na mimi nikaandikishiana naye kwamba anipe chumba kikiwa kimekamilika kimatengenezo. Mimi nikaanza...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Trump apitisha sheria ya kuundwa kwa kikosi cha kijeshi angani

    Rais Donald Trump amesaini Ijumaa sheria inayoruhusu kuundwa kwa kituo cha kijeshi cha angani na kuwapa wafanyakazi wa serikali kuu wiki 12 za likizo ya uzazi kwa wazazi wote wawili. Baraza la Seneti linalodhibitiwa na Warepublikan limeidhinisha muswada wa sera ya ulinzi yenye thamani ya dola...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU). Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mwanamke kabla ya Uislamu: Sheria Mbalimbali zinazolinda Haki za Mwanawake

    Ulinzi wa haki za binadamu ni haki ya msingi kwa kila mwanadamu ambapo mwanamke na mwanamme wana haki sawa katika kufaidi haki hizo. Kukosekana kwa haki hizo kunapelekea kudharaulika, kuongezeka umasikini na kukosekana kwa amani ya wanawake. Mikataba mbalimbali imepitishwa ili kuhakikisha kuwa...
Back
Top Bottom