Habari zenu wadau:-
Kuna nyumba ya jamaa wangu, imeteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme, kutokana na ajali hiyo, nyumba na vitu vyote vimeteketea.
Je naweza kuanzisha kesi ya madai?
Naomba muongozo jinsi ya kuanzisha kesi ya madai kwa TANESCO.
Je, hawa jamaa wako juu ya sheria? Maana huwa wanafanya chochote wakati wowote.
Kuna siku nilikutana nao barabarani jioni wanawahi sehemu, wanapita upande ambao sio wao, yaani wanapita ule upande wa magari yaendayo Gongo la Mboto kutoka Tazara. Sasa wao wapo vice versa, nikakataa kuwakwepa...
Zim to give back farms taken under land reform programme
20:20 10/03/2020 Crecey Kuyedzwa
Zimbabwe has announced plans to give back land controversially taken over under its controversial fast track land reform programme, which started in 2000.
The programme, which was criticised for being...
Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa timu yoyote ina Wachezaji chini ya 7
Kiwango cha juu cha kubadili Wachezaji wakati wa mechi kwenye...
Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au malighafi yoyote inayofaa
Mwanzo wa mechi, mpira unatakiwa uwe na uzito usiopungua Gram 410 na...
Eti wana JF, naomba kuuliza sheria inasemaje endapo mtu ameacha kazi halafu anahitaji pesa yake? mimi nilikuwa sekta binafsi pesa yangu ilikuwa NSSF lakini nimeingia serikali pesa yangu inakwenda PSSSF.
Sasa nilikwenda kudai hela zangu wakasema hawawezi kunipa kwa kuwa nimeacha mwenyewe...
Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi ya Kijani
Uwanja wa kuchezea lazima uwe wa umbo la Msatili ukiwa umewekewa alama za mipaka kwa...
Hivi katika utatuzi wa migogoro ya ardhi au mashauri ya ardhi katika vyombo vya kutoa haki(mabaraza ya ardhi na mahakama) kipi hutumika katika kufanya maamuzi?
Kwa maneno mengine,inapotokea mikabata ya watu kuuziana ardhi au watu kuweka ardhi rehani ili kupata mkopo,n.k na baadae ukaibuka...
Yaani tuchukulie mtuhumiwa wa ujambazi amekamatwa na Polisi, halafu wakati anawapeleka mafichoni kwa wenzake akaanza kuwakimbia Polisi huku akiwa hana silaha yoyote na akipiga makelele.
Je, kuna uhalali/ulazima wowote wa kumpiga risasi ya mgongoni na kumuua? Je, ndugu zake wanaweza kudai fidia...
Kanuni mpya za usajili wa Laini za Simu za mwaka 2020 zimetangazwa kwenye Gazetti la Serikali la tarehe 7 February, 2020 kama Tangazo la Serikali No. 112 la 2020. Jina fupi (short title) la Kanuni hizo ni the Electronic and Postal Communications (SIM Card Registration) Regulations, 2020...
Kwa kweli siridhiki kuona kiwanja changu kimekaa kama sambusa.. Natamani kiwe square kama kiwanja cha mpira.
Sasa ili 'kuboresha mipango miji' ninapanga kumega kama mita moja kutoka kwa jirani ili kikae sawa.
Hapa ninakusanya nguvu ya tofali elfu mbili.. Nikija kuibuka naibuka na ukuta mmoja...
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.
Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).
Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini
1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya...
Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu namba 225 (4) inasema Upelelezi usipokamilika ndani ya siku 60 mshatakiwa kuachiwa huru. Hiki ni kitu ambacho hakitekelezwi ipasavyo na mahakama na baadhi ya watuhumiwa wamekuwa wakikaa muda mrefu mahabusu
Hayo yameelezwa Februari 10, 2020 na wakili...
Faraja Masinde, Dar es salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeujibu Ubalozi wa Marekani nchini kuhusu kuanzishwa kwa tume huru, ikisema ushauri uliotoa ni mawazo yao na kwamba tume iliyopo ni huru kwa mujibu wa sheria.
Januari 31 mwaka huu, Ubalozi wa Marekani nchini ulimpongeza Rais Dk...
#WikiYaSheria2020
TAREHE 6, FEBRUARI, 2020
UKUMBI WA KIMATAIFA WA MAKONGAMANO WA MWL. JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM
Ndugu Mh. Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Mh. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahimu Juma,
Mh. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi...
Hotuba ya jaji mkuu
Majaji wanne wanatarajiwa kustaafu mwaka huu, mwaka jana majaji 5 walistaafu.
MAHAKAMA imeweka kipaumbele kwenye mashauri yanayoweza kuchochea uchumi wa viwanda, kama mashauri ya biashara na uhujumu uchumi.
Mahakama kuhakikisha Mashauri ya uhujumu uchumi yanashughulikiwa...
Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rugemeleza Nshala amesema ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuhakikisha kuna utengamano wa kisheria na mfumo wa haki unaheshimiwa.
Nshala ameyasema hayo leo Alhamisi Februari 6, 2020 katika maadhimisho ya siku ya...
Mtumishi mmoja baada ya kuachakazi na kulipwa mafao yake (pungufu) akaanza kudai Mapunjo ya miezi karibia 12 yenye dhamani zaidi ya millioni 2 (hiki ni kiasi kikubwa).
Akafungua file la madai. Chakushangaza PSSSF inamwambia mteja wake kuwa Huyo mwajiri hataki kutoa ushirikiano wa kulipa hayo...
Fikiria tuhuma nzito kama hii inatolewa ndani ya Bunge na Mheshimiwa Mbunge halafu ukimya unatanda. Bunge kimya, vyombo vya usalama kimya, chama husika kimya na wananchi wanaowakilishwa na huyo Mbunge kimya! Je ni woga, ujinga au ukondoo.
Watanzania hebu tutulie, tujitafakari na tujiulize kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.