Kiukweli kuna sheria /taratibu zingine kuzifuata ni mtihani sana..yaani inakubidi tu uivunje ili vingine viendelee...
Kuna siku nipo class form 1..shule yetu kuanzia getini yamejaa mabango tu SPEAK ENGLISH ONLY
Sasa haja imenibana hatari nimevumilia karibu dk 20 nikashindwa na ticha hatoki...
Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated areas.
Naenda straight to the point Mimi bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo Fulani hapa nchini...
Mwizi kaingia ndani ya nyumba ya mtu kuiba majirani tukaona tukafunga mlango kwa nje.
Mwizi akataka kuvunjja mlanngo akapanda juu akachana bati akutokea juu akaanza kukimbia, Wananchi wenye hasira kali wakampa kipigo tukajitahidi kuwazuia tukafanikiwa mwenyewe.
Mwenyewe alipewa taarifa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi
BUNGE limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria ya tasnia ya sukari, kwamba wasambazaji wa bidhaa hiyo ni miongoni mwa watu watakaotakiwa kusajiliwa pamoja na kupewa leseni.
Akiwasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria...
Malengo yake ni: To authorize the Secretary of Health and Human Services to award grants to eligible entities to conduct diagnostic testing for COVID–19, and related activities such as contact tracing, through mobile health units and, as necessary, at individuals’ residences, and for other...
Kama hukujua, mkulima wa South Afroika bado anadai bilioni 40 zake na riba kubwa tu, katika hali isiyo kawaida, ametoa waranty nchi nyingi isipokuwa India ndio walisema hawata kamata hizi ndege.
Lakini pia, Air Tanzania zimepakiwa tu viwanjani isipokuwa bomberdier tatu zinafanya safari za ndani...
Naelewa kuwa wewe Pascal na mwenzio Dotto ni members humu na mmekuwa mkilipa umuhimu wa juu hili jukwaa katika kipindi chenu cha Jicho letu ndani ya habari.
Nakumbuka hata juzi ulimuuliza waziri wa habari mh Mwakyembe juu ya misukosuko ya kimahakama anayokumbana nayo mkurugenzi wa Jf mh Max...
Siku za hivi karibuni spika Ndugai ameonekana akitoa maamuzi yanayoenda kinyume Cha sheria na Katiba ya nchi Hasa kuhusu ubunge wa Cecil Mwambe na Wabunge waliofukuzwa jana na Chadema Anthony Komu,Wilfred Lwakatale, David Silinde na Joseph Selasini.Jana kabla hajapokea document yoyote ya chama...
Niwe tu mkweli katika bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni mwishoni mwa mwezi huu kupooza tunakoendelea kukushuhudia ni kutokana na kukosekana kwa wanasiasa ving'ang'anizi na wenye weledi kama Tundu Antipas Lisu.
Kiukweli pengo la Lisu kwa upinzani na kwa bunge zima halijaweza kuzibwa, ndio...
Comreds hi! Hopes twajilinda vyema kwa kutulia nyumbani na Ku take precautions kwa kuvaa mask na kunawa mikono kwa sanitizers.
Kwa ufahamu wangu sote tuko chini ya Katiba inayotuongoza. Kuikanyaga katiba kwa sisi watu wa imani nisawa na kumkufuru Roho mtakatibu .
Mwalimu Nyerere aliwahi sema...
Matumizi ya nembo ya Taifa. Je, inafaa kutumiwa na mtanzania yeyote? Mara nyingi nimewahi kusikia kesi za matumizi mabaya ya nembo! Je, kuna matumizi mazuri kwa raia wa kawaida? Mbali na kuziweka profile picture kwenye mitandao ya kijamii.
Je, inafaa kuichanganya nembo hii na nembo ya biashara...
Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma
Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na alifikishwa hospitalini akiwa tayari ameshafariki dunia...
Wanabodi, kila nipatapo fursa, huwa nawaletea zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa zinachapishwa katika gazeti la Habari Leo, kila siku za Jumatano.
Ili kuepuka kuitwa popote na kuhojiwa kuwa nimesema kitu fulani, yaani statements, makala hizi huja kwa mtindo wa maswali...
Habari za muda huu wanagenzi,leo nimeona nianzishe uzi huu ili niweze kuwashirikisha na nyinyi katika hili ambalo limekuwa likiniumizakichwa kwa kiasi kikubwa kulitafakari kwa muda mrefu bila kulipatia majibu.hivyo kupitia jukwaa hili ni Imani yangu kuwa ninaweza kupata suluhisho juu ya swala...
Habari wakuu,
Nahitaji msaada wa sheria.
Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi.
Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
I was born in Tanzania from both Tanzanian parents but when I was around 10years, a family member took me to study in kenya.we crossed the boarder illegally may be he bribed the officials at the boarder.
I came back last year with a Kenyan passport. After it expired I went to the village to...
Wananchi wenyewe tunachangia miundombinu ya serikali kuharibika,mfano mvua zinapokua zinanyesha wananchi wamekua na tabia ya kumiminia taka taka kwenye mitaro eti isombwe na maji,kitu kinacho changia mitaro na makaruvati kuziba.Hivyo pengine kupelekea mafuriko yasiyo na ulazima kwa watu waishio...
Habari Kiongozi,
Ilikuwa mapema mwaka 2014 ndg yangu aliajiliwa kama Mwalimu katika Halmashauri moja hapa nchini hata hivyo alifanya kazi kw muda wa miezi nane Pekee na kuamua kumwandikia Mkurugenzi wake wa Wakati huo Barua ya kusudi la Kuacha kazi lakini hakujibiwa Badala yake Mwaka 2015 June...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.