Sheria ya kumuweka mtu mahabusu (ndani) haitumiwi vibaya?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,307
12,602
Nimekuwa nikisikia na kuona watu wenye dhamana kubwa wakiwaamuru polisi wawakamate na kuwaweka ndani watu ambao hawakimbii, hawaleti fujo na wala hawatishii usalama wa watu wengine. Wanaagiza watu hao wakamatwe kwasababu tu wamechelewa kumalizia kazi waliyopewa kwa muda waliopewa.

Hivi watu hawa wenye makosa kama haya ni sawa kuagiza kukamatwa na kuwekwa ndani hapohapo au kuna njia njingine zaidi ya kumkamata?
 
Back
Top Bottom