Je, Sheria inasemaje kuhusu hizi Nembo?

Kulupango

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
288
534
Matumizi ya nembo ya Taifa. Je, inafaa kutumiwa na mtanzania yeyote? Mara nyingi nimewahi kusikia kesi za matumizi mabaya ya nembo! Je, kuna matumizi mazuri kwa raia wa kawaida? Mbali na kuziweka profile picture kwenye mitandao ya kijamii.

Je, inafaa kuichanganya nembo hii na nembo ya biashara yangu?

Katika hii nembo ya Taifa kuna ambayo ina background nyeupe na nyingine ina background nyeusi. Ipi ni sahihi!? Wanasheria mnisaidie.

unnamed.png
images.jpg
images.png
 
Back
Top Bottom