Tangu serikali isitishe kugharamia mafunzo ya JKT - mujibu wa sheria kwa 100% kama awali, hali imekuwa ngumu zaidi kwa upande wa wananchi na kupelekea wanafunzi wengi kushindwa kuhudhuria mafunzo hayo.
Zamani kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma ilikuwa mwanafunzi akichaguliwa kwenda JKT kwa mujibu...
Trump ametunga Sheria au maarufu kama Executive order ya kuyadhibiti makampuni ya kutengeneza madawa ya binadamu kushusha bei ya dawa muhimu za binadamu.
Kwa wastani raia wa Marekani analipa zaidi ya 100% au mara 2 ya bei ya dawa kulinganisha na rais wengine wa nchi nyingine zilizoendelea...
Kufuatia press release ya polisi kuwataka CHADEMA kuwa na kibali cha kumpokea mgeni wao, wananchi wameamka na kuanza kuitekeleza amri hiyo
Hii hapa chini ni nakala ya barua ya mwananchi fulani kwenda kwa polisi (nimechukua sehemu chache ili kutunza usiri wa mhusika)
Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA
Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote
Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
Kifungu namba 7 (a): Baada ya kupata taarifa rasmi na uthibitisho wa Daktari kuhusu kifo cha kiongozi huyo
Rais atatangaza kifo cha kiongozi huyo kwa kutaja tarehe, muda na sababu ya kifo chake
Rais atatangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa na bendera kupepea nusu mlingoti
Rais ataitisha...
Wazee wenzangu Good morning!
Naomba mnifahamishe muda mzuri wa kujengea kaburi baada ya ndugu kufariki.
Naomba mnijuze sheria za serikali za kumiliki kaburi zinasemaje in case wakitaka kuyahamisha.
Na je, muda maalumu wa kumaliza msiba ni lini ukipita mwaka mmoja hamjamaliza msiba, yaani 40...
Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump.
1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe.
2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka
Rais hawezi...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2020, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.
Sanjari na uchaguzi huo, JKT limewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa mafunzo na wanatakiwa...
Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani
Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike (Pedi/Sodo) Mitaani. Vile vile hata ikitokea Taulo hizo zimekutwa Nyumbani kwa Mtu au Mtaani basi...
LET US CREATE NEW LAW IN BREAKING MARRIAGE or MARRIAGE TO BE COME DIVORCED ITSELF AFTER SEPARATION.
Hey, my Funs to day DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Affair Advisor giving you some points to show that a Marriage has already broken in Law an Fact due to one party...
Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana.
Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria.
Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata.
Kwanza Tanzania...
Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah.
Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi.
Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa wametukana watawezaje kuthibitishwa?
Je, haiwezekani mtu akamtuhumu mshindani wake katukana ili asiwe...
Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo.
Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
1: Kifungu cha 31: Polisi au watekelezaji wa sheria wanaweza kutoa amri inayoruhusu kuingia, kupekua, au kutwaa vifaa na mifumo ya kompyuta, na kutwaa data au taarifa zilizohifadhiwa kwenye kompyuta
Wanaweza kufanya hivyo iwapo watajiridhisha kwamba kuna sababu za msingi kuamini kwamba mfumo...
Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz
Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera.
_
Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais Chakwera kushinda kesi dhidi mpinzani wake (Mutharika), ambaye anadaiwa aliiba kura kwenye uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.