Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi.
1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao.
2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao.
Tuwe...
Maendeleo yoyote husukumwa na ubunifu! (Creativity)
Ili mwanasayansi agundue lazima asukumwe kufanya ubunifu!
Ili mfanya biashara atambulishe fursa lazime atangulize ubunifu!
Ubunifu ni Imani ya kutarajia suruhisho!
Endapo watu wakiongozwa kwa vitisho na sheria mbovu Imani hiyo ya ubunifu...
Polisi wamekuwa wakiendesha magari yao vibaya sana bila kufuata sheria na taratibu za barabarani.
Watu wengi wamegongwa na kufa, na wengine kujeruhika kutokana na uendeshaji wao mbovu.
Pia uendeshaji mbovu huaribu vyombo ambavyo vimenunuliwa kwa Kodi za wananchi.
Na mbaya zaidi magari yao...
Selling charcoal and money laundering
My aunt was found selling charcoal without a permit to sell or buy forest produce. At the time of her arrest she had already sold a number of bags of charcoal and had some amount of cash in her poach. She is now being charged with selling forest produce...
Vifaranga kutoka nchini Kenya vyenye thamani ya Milioni 40 vimekamatwa na mamlaka ya serekali Tanzania bila ya kuwa na vibali halali. Kwa kujibu wa taarifa toka mamlaka husika Tanzania wamesema wataviteketezwa kwa mujibu wa sheria inavyotaka.
Japo vifaranga hivyo havijathibitika kuwa na...
Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
Moja ya sababu zilizofanya mitandao ya kijamii kuaminiwa zaidi na watumiaji ni kutokana na hakikisho la usalama wa mawasiliano kwa kutumia mfumo wa msimbo fiche wa mwisho hadi mwisho (end-to-end encryption). Huu ni mfumo unaoficha ujumbe uliotumwa kutoka kwa mtumiaji mmoja ili usiweze kusomwa na...
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Qatar kuiondoa sheria inayowapa wanaume mamlaka ya kuwasimania wanawake ili kuwapa wanawake uhuru wa kujifanyia maamuzi.
Maamuzi hayoni pamoja na ndoa, kusafiri na kupata huduma ya afya ya uzazi. Shirika hilo lililo na makao...
Wasalaam wakuu
Kipenzi mke wangu najua ananijali sana na kunipenda , ndiyo maana akakubali kwa kila hali na namna ifaayo kunipokea
Na kabisa baraka tele ziwe juu ya huyu mwanadada juu ya maswahibu yangu aendeelee kutunza familia yangu na watato wangu
Nayeye haachagi kunisifia kuwa ni...
Wakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli.
Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21...
Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli.
Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi;
1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
Kwakuzingatia katiba na sheria inayosimamia mazishi ya viongozi na kwakuepuka uvunjifu wa sheria nchi yetu ilipashwa kufanya yafuatayo kabla yakufanya mazishi ya Hayati Mhe. John Pombe Magufuli.
1. Makamu wa Rais kutangaza kifo Cha Rais aliyekuwepo madarakani-
2. Makamu wa Rais kuapishwa kuwa...
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.
Updates;
Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini.
Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano...
Nafikiri Mama Samia anapaswa kuwaondoa hawa kutoka Baraza la Mawaziri na asitishe pia kazi walizoelekezwa na Hayati Magufuli kuzifanya.
Tunafahamu msukumo wa kutaka Sheria ziandikwe Kiswahili ni kwa sababu Lugha ya Kiingereza ilikuwa ni kama Mama Mkwe kwa Magufuli, na hivyo pengine ilikuwa...
Poleni Watanzania.
Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
Baada ya Mh. Rais kuzindua tawi la benki ya CRDB la LAPF Dom, sasa TBC1 wako live katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa nyumba za makazi wa Iyumbu, Dodoma.
Anazindua nyumba 150 za mradi wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) zilizopo Iyumbu, kata ya Iyumbu Mkoani Dodoma...
Huu ni wito kwa watunga Sera
Upo umuhimu wa Sheria ya manunuzi ya umma kupitiwa upya.
Haiwezekani Taratibu za kununua matofali au karatasi zikafanana na manunuzi ya dawa na vifaa tiba.
yaani paracetamol au gloves zikiisha utaratibu wa manunuzi ulingane na ule wa kununua tofali la kujengea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.