sheria

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kikoyo: Sheria ya Bima ina matatizo makubwa, hatuwatendei haki wananchi

    Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa. Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi la Polisi watapima, Kesi itapelekwa Mahakamani Hukumu itoke kisha Mhanga aiambitishe ili kwenda...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Zoezi la kutafsiri Sheria kwa lugha ya Kiswahili linaendelea

    Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Wizara nyingine pamoja na Taasisi zinaendelea na zoezi la kutafsiri Sheria zinazosimamia ili ifikapo Desemba 2021 Sheria zote ziwe zimetafsiriwa kwa Kiswahili. Amesema Mahakama ipo katika hatua za mwisho kutafsiri Kanuni zaidi ya 50...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliye juu ya sheria- hii kwa makosa inatumika tu hapa kwetu ila Uingereza Malkia wao haihitaji leseni ya udereva

    The Queen is the only person in the United Kingdom who can drive a car without a driver's license. She has been driving since she was 19, and she does not need a license because they are issued in her name; therefore, she gets to enjoy the rights that exclude her from the law.
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuondoa ukiritimba kama uliopo Chadema sheria ya vyama vya siasa ibadilishwe hakuna kiongozi wa chama kuongoza zaidi ya miaka kumi

    Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu. Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka...
  5. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Mimi siongezi neno hapa Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Askari DEREK CHAUVIN akutwa na hatia ya mauaji ya George Floyd

    Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi alimwekea goti shingoni George Floyd kwa dakika tisa na sekunde 29 alipokuwa akimkamata na kusababisha...
  7. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane visanga na Sheria za nyumbani enzi za utoto

    Mimi nakumbuka familia yetu wazazi hawakuwa strict sana kivile kiasi cha kuogopwa na watoto. Ila kuna Sheria 3 kuu ambazo watoto hasa wa kiume ilibidi tuzifate na kuzitii kama tulihitaji kuendelea kuishi kwa amani na utekelezaji wake ulikuwa unasimamiwa kwa hali ya juu sana. 1. Hakuna kula kama...
  8. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wanasheria (TLS) mngependekeza aina ya uvaaji (dress code) katika mikutano yenu

    Nimeangalia mkutano uliyojumuisha uchaguzi wa raisi wa chama cha wanasheria kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Tukio hili kubwa la kitaifa lilifanyika Arusha kwenye jumba kuu la mkutano al maarufu kama AICC ni ukumbi wa mkutano ambao hufanyika mikutano mikubwa ikizingatiwa Arusha ni Makao...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Utafsiri wa Sheria na hatma ya Haki nchini Tanzania

    MAKOSA YA JINAI YASIYO NA DHAMANA YANADHAMINIKA (Non Bailable Offences are Bailable) Obadia Kajungu, Esq. ADVOCATE. Dibaji (Forewords) Sisi wanasheria ndiyo kikwazo cha haki nchini Tanzania na hii ni kwa sababu tumeacha kuzitendea haki sheria kwa kushindwa kuzitafsiri sambamba na matakwa ya...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia asaini Sheria kuongeza miaka miwili madarakani

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria Tata inayoongeza mamlaka yake kwa miaka miwili, huku hatua hiyo ikipingwa vikali na Wafadhili. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Serikali na Waziri wa Habari, Osman A Dubbe Rais amesaini Sheria hiyo ambayo ilipitishwa na Bunge. Hata...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga (Mbunge CCM): Kosa la Uhujumu Uchumi limerahisishwa sana nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha kuwashinikiza kukubali makosa

    Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana. Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa.
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini Spika Job Ndugai atajibu tuhuma za yeye na Wabunge kuhongwa Pesa na serikali ya Magufuli ili kupitisha miswada mibovu ya sheria kandamizi?

    Mh Mbowe katika hotuba yake kwa Taifa pamoja na mambo mengine mengi aliyoyazungumza, pia alizungumza kwa msisitizo sana jinsi Bunge la Tanzania lilivyogeuzwa kuwa Muhuri wa kupitisha Sheria mbovu za ukandamizaji pamoja na kuunga mkono bajeti za serikali zenye makando kando. Mbowe alitamka bila...
  14. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hawa Wabunge wasio na chama wapo Bungeni kwa sheria ipi? Nani anawalipa?

    WABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Wanawake kuuawa na wenza wao pamoja na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi yanazidi kuongezeka

    Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019. Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha makato ya mikopo ya elimu ya juu kinakiuka sheria ya marejesho

    Ripoti ya CAG ya Mwaka 2019/20 imejibu kilio cha wanufaika wengi wa Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia (HESLB) Ripoti imebaini makato hayo ni makubwa sana na yanavunja Sheria ya Marejesho
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naomba huu uwazi alioanzisha Rais uwekwe kwenye Sheria na Kanuni

    Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali. Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru. Hapo ndiyo tutaepuka mambo kama yaliyotokea miaka mitano ya JPM. Sasa hili suala lisiachwe kwa Rais...
  18. J

    JamiiForums Tanzania CAG: DPP amekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 60 na hazijatumika kwa sababu hakuna Sheria ya Matumizi yake

    CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya kuzitumia. CAG amelishauri Bunge kutunga sheria ya matumizi ya fedha hizi. Ukinizingua Nitakuzingua!
  19. idawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kusanyeni kodi kwa kutumia akili, sio nguvu

    Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili. Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natumai mbobezi wa sheria Profesa Kabudi atatudadavulia namna Nusrat Henje alivyotoka jela usiku na asubuhi kuwa mbunge!

    Nikuombea tu Waziri wa katiba na sheria Prof Palamagamba Kabudi utuwekee sawa hili la mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA Nusrat Henje namna alivyoupata ubunge. Hili swala lina utata mwingi na ni doa kubwa kwenye chombo kitukufu kama bunge tena kinachoongozwa na daktari wa sheria Tulia...
Back
Top Bottom