Huu ni wito kwa watunga Sera
Upo umuhimu wa Sheria ya manunuzi ya umma kupitiwa upya.
Haiwezekani Taratibu za kununua matofali au karatasi zikafanana na manunuzi ya dawa na vifaa tiba.
yaani paracetamol au gloves zikiisha utaratibu wa manunuzi ulingane na ule wa kununua tofali la kujengea...
Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?
Na international law inasemaje?
Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema...
Habari waungwana.
Kuna jamaa alinipigia simu kuwa kuna kampuni inatafuta mtu wa nafasi fulani. Basi nikamwambia wape namba ya simu.
Nikapigiwa simu kwamba nitume Cv, nikawatumia cv halafu ikawa kimya karibu mwezi basi mimi ikawa nimeipotezea tu hiyo kazi.
Baadae nikapigiwa simu na kufanyiwa...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo.
Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
Tough times await artistes, video music producers, advertisers, and individual computer users following proposed tough laws to help tame pornography in the country.
Garissa Township MP Aden Duale, in the proposals seen by the Star, wants it made illegal to possess or publish pornography, in any...
Mabadiliko yamefungamanishwa na kila kitu mfano miamba hubadilika, siasa hubadilika itikadi hubadilika, teknolojia hubadilika ....
Binadamu ndiye kiumbe wa pekee ambaye ameumbiwa "UTASHI" ambao unaomtofautisha na viumbe wengine wote kwani unamuwezesha siyo tu kuwa muhanga wa mabadiliko bali pia...
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemfukuza kazi Waziri wa Sheria ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu, Johnston Busingye
Amefukuzwa kazi kwa kufanya kazi kwa kufuata matakwa yake badala ya kufuata sera za Serikali
Baada ya msuguano baina ya serikali na mtandao wa Twitter kufuatia maandamano ya wanaharakati wanaotaka mageuzi ya kilimo kuhusu kuondolewa kwa maudhui yanayodaiwa kupotosha na kuhatarisha usalama wa taifa, serikali ya India sasa inatunga mswada utakaolazimisha mitandao ya kijamii kukubaliana na...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa.
Dkt. Abbasi...
BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika kijamii.
Wito huo umetolewa na TEC kupitia ujumbe wake wa Kwaresma uliotolewa hivi karibuni, ukiwa na kichwa cha habari “Ingekuwa...
Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards.
Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni.
Keep my words
Tuangazie sheria za mataifa mbalimbali kuhusiana na 'Ndege zisizokuwa na rubani' maarufu DRONES.
Teknolojia na matumzi ya ndege hizi inatazamiwa kupiga hatua mara mbili zaidi kwa miaka mitano ijayo, kutoka Trillioni 51.2 TZS (2020) Hadi Trillioni 102.3 TZS (2021). Matumzi makubwa yakiwa...
Huwezi kutaka sheria ziwe kwa lugha ya Kiswahili, halafu wakati huohuo unawatrain wanasheria wako kwa Kiingereza, kufanya hivyo ni kujaribu kuweka mkokoteni mbele ya punda ausukume kwenda mbele.
Kitu cha kuzingatia katika maamuzi haya ni Je, Taifa limejiandaa kikamiifu kutunga sheria na...
Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni.
Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama...
Mbunge wa Ngara (CCM), Ndaisaba Ruhoro amelitaka Bunge kutunga sheria itakayopiga marufuku matumizi ya vileo hadharani.
Ruhoro alitoa kauli hiyo wakati akichangia Mpango wa Serikali jana bungeni mjini Dodoma akibainisha kuwa kunywa pombe hadharani kunasimamisha shughuli za maendeleo kwa kuwa...
Kinachoendelea Dodoma sicho kinachopaswa kufanywa na wabunge watokanao na wananchi.
Wabunge wengi waliopewa nafasi yakusimama bungeni wamejikuta wanasifia, wamelalamika na kuomba.
Wengi wa wabunge hasa jinsia ya like wamejikita zaidi kusifia zaidi yakueleza wananchi wamewatuma nini.
Wabunge...
Wakuu kuna hizi pikipiki ambazo zinapiga kelele kiasi kwamba kama mnaongea inawabidi msimame kama dk moja hivi. Mi binafsi zinanikera sana. Bahati mbaya sehemu ninayokaa ni karibu na barabara, hizi zimekuwa kero kubwa sana.
Wengine nao wana hutu tusport car, wanapiga nato kelele balaa.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.