Naomba kujuzwa sheria za kumpa mpangaji notice

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Poleni majukumu humu jamvini.

Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani?

Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.
 
Huyo mpaka sasa hana mkataba na wewe hivyo ni hisani tu nenda serikali ya mtaa watamwita watampa siku aondoke au wiki ,hao viongozi watakuwa mashahidi akigoma kuhama mtavunja mlango na kumuhamisha kwa nguvu

Sorry nahisi sijajieleza vizuri.
Ni mpangaji wangu mwaka wa pili sasa ana amekuwa akilipa on time ila alitakiwa kulipa kodi mpya tangia tarehe 1 Jan 2021 ila mpaka sasa hajalipa na tumesha anza mwezi wa pili
 
Wenye nyumba ebu tafuteni shughuli nyingine za ziada kuliko kutegemea kodi kuendesha maisha!

Mwezi mmoja tu unataka umfukuze mpangaji? Kwani hakupi ushirikiano? Je biashara kaifunga?

Hujatoa majibu
Ni nyumba ya kuishi siyo ya biashara
 
vitu vingine sio vya kuja kuomba ushauri humu.kweli wenyenyumba wengi mmeachiwa nyumba za urithi ila elimu hamkupewa.wee unaona hali ilivyo ngumu kuna wengine hawajapewa miez 6 na hawaj humu kulopoka km wewe zumbukuku
 
Sorry nahisi sijajieleza vizuri.
Ni mpangaji wangu mwaka wa pili sasa ana amekuwa akilipa on time ila alitakiwa kulipa kodi mpya tangia tarehe 1 Jan 2021 ila mpaka sasa hajalipa na tumesha anza mwezi wa pili
Mkuu mwezi mmoja tu unalalamika aisee,na umesema hajawahi kukusumbua huko nyuma,why usiwe mvumilivu atakupa pesa yako

By the way natamani tanzania kuwe na mfumo kulipana kodi kila mwisho wa mwezi hii itakuwa rahisi sana kuliko kudaina makodi ya miezi sita yaan unalipia miezi ya mbele je ukifa?...Hv hili swala hatuwezi kulipazia sauti likafanikiwa?
 
We mwenye nyumba inaonekana una roho ngumu sana mtu kama alikuwa anakulipa vizuri miaka ya nyuma huwez kugundua kwamba kwasasa mambo yake sio mazuri uvumilie kidogo?
mimi nimeshindwa hata kumsaidia mwenye nyumba kwani kasema Kodi mpya kashindwa kulipa
kweli unapandisha Kodi katika kipindi kigumu hivi? uchumi wetu kupanda, watu wanasota mitaani kuendea kula mlo mmoja kwa siku
Kodi za shule kupanda

BLUE BALAA

mwenye nyumba wenzako huwa wanasamehe km majanga yametokea, mm nakushauri usipandishe kodi kwani kipindi hichi ni kigumu, na hujui tu kuwa unatakiwa ulipe 10% ya Kodi hiyo TRA km ni nyumba ya kulala na 33% Kodi TRA km ni nyumba inayoingiza kibiashara, Duka ar Hotel nk
Corona kuvamia Nchini huenda ikafuata Lock down
Hata akigoma na kwenda Baraza la nyumba watamshangaa
 
Poleni majukumu humu jamvini.

Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani?

Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.
Braza mvumilie mwanaume mwenzio huyo! Maisha ni magumu hasa kwa wenye familia...Unataka familia yake ikaishi wapi chief. Mpe msaada tu atakulipa mambo yakianza kutulia mwezi ujao.
 
nenda serikali za mitaa! utaratibu wa notice ni miezi mitatu yenye malipo! na atalipia huo mwezi asiolipia..! chako ni chako bro haijalishi mliishi vipi.. :(
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom