Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards.

Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni.

Keep my words
 
Ungeweka kwanza hicho kipengele tuanzie hapo, kama hukijui hata sioni tunajadili nini cha maana hapa.
 
Dini ni jumuiya ya watu na watu hao wanaounda dini ni wananchi na wananchi hao ndiyo wanasiasa na wengine wana haki ya msingi kudai haki zao
 
Wakiwasifia mbona mnafurahi lakini hamtaki kukosolewa, kwani katiba mpya ni hitaji la wanasiasa pekee? Shame on you
 
Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards.

Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni.

Keep my words
" Human being is a political being" Aristotle.
 
Back
Top Bottom