sheria

  1. Sam Gidori

    India kutunga sheria kubana zaidi mitandao ya kijamii baada ya kutunishiana misuli na Twitter

    Baada ya msuguano baina ya serikali na mtandao wa Twitter kufuatia maandamano ya wanaharakati wanaotaka mageuzi ya kilimo kuhusu kuondolewa kwa maudhui yanayodaiwa kupotosha na kuhatarisha usalama wa taifa, serikali ya India sasa inatunga mswada utakaolazimisha mitandao ya kijamii kukubaliana na...
  2. Miss Zomboko

    Serikali: Hatutasimama na Wasanii wanaotafuta kiki badala ya kufanya kazi na wale wanaovunja sheria za Nchi

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa. Dkt. Abbasi...
  3. Miss Zomboko

    TEC: Mipasuko kwenye jamii Husababishwa na Watu fulani kujiona bora zaidi na wako juu ya Katiba na sheria

    BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika kijamii. Wito huo umetolewa na TEC kupitia ujumbe wake wa Kwaresma uliotolewa hivi karibuni, ukiwa na kichwa cha habari “Ingekuwa...
  4. Z

    Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

    Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards. Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni. Keep my words
  5. isajorsergio

    Sheria ya faragha kwa ndege zisizokuwa na rubani "DRONES"

    Tuangazie sheria za mataifa mbalimbali kuhusiana na 'Ndege zisizokuwa na rubani' maarufu DRONES. Teknolojia na matumzi ya ndege hizi inatazamiwa kupiga hatua mara mbili zaidi kwa miaka mitano ijayo, kutoka Trillioni 51.2 TZS (2020) Hadi Trillioni 102.3 TZS (2021). Matumzi makubwa yakiwa...
  6. M

    Kubadili sheria kuwa kwa Kiswahili hakuna budi kwenda sambamba na kubadili mitaala iwe ya Kiswahili

    Huwezi kutaka sheria ziwe kwa lugha ya Kiswahili, halafu wakati huohuo unawatrain wanasheria wako kwa Kiingereza, kufanya hivyo ni kujaribu kuweka mkokoteni mbele ya punda ausukume kwenda mbele. Kitu cha kuzingatia katika maamuzi haya ni Je, Taifa limejiandaa kikamiifu kutunga sheria na...
  7. J

    Waziri Gwajima: Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote kufikishwa bungeni hivi karibuni!

    Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni. Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba. Source TBC Maendeleo hayana vyama...
  8. Miss Zomboko

    Ndaisaba: Itungwe sheria ya kuzuia watu kunywa pombe muda wa kazi

    Mbunge wa Ngara (CCM), Ndaisaba Ruhoro amelitaka Bunge kutunga sheria itakayopiga marufuku matumizi ya vileo hadharani. Ruhoro alitoa kauli hiyo wakati akichangia Mpango wa Serikali jana bungeni mjini Dodoma akibainisha kuwa kunywa pombe hadharani kunasimamisha shughuli za maendeleo kwa kuwa...
  9. K

    Ni fedheha kuwa na watunga sheria wanaolalamikia ubovu wa sheria

    Kinachoendelea Dodoma sicho kinachopaswa kufanywa na wabunge watokanao na wananchi. Wabunge wengi waliopewa nafasi yakusimama bungeni wamejikuta wanasifia, wamelalamika na kuomba. Wengi wa wabunge hasa jinsia ya like wamejikita zaidi kusifia zaidi yakueleza wananchi wamewatuma nini. Wabunge...
  10. Red Giant

    Hivi hakuna sheria juu ya hizi pikipiki zinazopiga kelele kupita kiasi?

    Wakuu kuna hizi pikipiki ambazo zinapiga kelele kiasi kwamba kama mnaongea inawabidi msimame kama dk moja hivi. Mi binafsi zinanikera sana. Bahati mbaya sehemu ninayokaa ni karibu na barabara, hizi zimekuwa kero kubwa sana. Wengine nao wana hutu tusport car, wanapiga nato kelele balaa. Hivi...
  11. Chagu wa Malunde

    Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya Katiba kiheshimiwe

    Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote. Leo hii...
  12. Limbweni

    Wanafunzi wakipeana mimba Sheria inasemaje?

    Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
  13. BLUE BALAA

    Naomba kujuzwa sheria za kumpa mpangaji notice

    Poleni majukumu humu jamvini. Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani? Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.
  14. K

    Rais Magufuli na Jaji Mkuu Siku ya Sheria: Msongamano wa kesi Mahakama ya Rufani kikwazo cha kupata haki

    Siku ya sheria imekaribia na Rais Magufuli atahutubia na jaji Mkuu atahutubia. Hatujui Rais atasema nini lakini ni wazi hotuba ya Jaji Mkuu itasheheni historia ya Mahakama Kuu (High Court) kwa miaka hii 100. Hongera sana Mahakama Kuu. Hakuna majaji watenda haki kama Mahakama ya Rufani. Ukiwa...
  15. OLS

    Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  16. Replica

    Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  17. F

    Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  18. Mystery

    Hivi Mhimili wa Mahakama kipaumbele chenu kwa sasa ni kutafsiri lugha za sheria zenu na kuwa kwa Kiswahili?

    Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021. Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
  19. Ryzen

    Kusoma Diploma/Certificate ya Sheria kwa part-time

    Wakuu habari, hivi inawezekana kusoma Dip/cert ya sheria part time au kama wanavyofanya Open University. Kama inawezekana Ada yake sh ngapi na vyuo vipi vinafanya hivyo.
  20. Elius W Ndabila

    Je, hawa wateule wa Rais ni sheria zetu butu, uzembe au?

    JE, NI SHERIA BUTU, UZEMBE AU NI MAZOEA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nikitazama mchakamchaka wa watumishi pale tu Mkuu wa nchi anapotoa maagizo ninabaki kujiuliza je ni sheria zetu butu, je ni uzembe kwa watu ambao Mh Rais amewaamini kumsaidia kusimamia au ni mazoea ya viongozi wetu kuzoea...
Back
Top Bottom