Hivi kwa sheria za Tanzania Majaji wanashtakiwa?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Ofisi ya DPP pekee imetoa majaji wanne wa mahakama kuu ya Tanzania. Hawa ndio walikuwa engine ya kuvurugwa mfumo wa haki.

Je majaji wanashtakiwa? Kama awashtakiwi hii yakuwateua haiwezi kuwa njia yakuwaficha wasipambane na mkono wa dola?

Tufungue macho tusiwaamini sana wanasiasa, Wana njia nyingi zakukwepa uwajibishwaji wa watu waliowasaidia kubaki madarakani. Ule mkeka wa majaji una maswali mengi sana, tuumulike
 
jaji anaundiwa tume ya Majaji wakiwemo wa kuoka commonwealth , then akipatikana na hatia wanapendekeza kwa Rais na kuchuku hatua ya kumvua ujaji.... sasa sijui baaada ya ujaji kama anashitakiwa...
 
Biswaloooo...njoo huku!!Kuna shauri linataka kuundwa ili uhukumiwe kunyongwa hadi kuwa hayati!😂😂😂😂
 
Kwani kuwa Jaji si mpaka upitie level fulani fulani kwenye Uanasheria au mie ndie sielewi
USA kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ni kazi pilikapilika zake ni hatari
Huku kwetu hata Masanja mkosa elimu anaweza kuwa kiongozi
 
Mchakato wake Ni mgumu, ndo maana wamempa ujaji kumficha na uovu alioufanya kwa WaTz, machozi ya waliodhulumiwa yatawalilia mtaanguka kwa aibu Kama jiwe
 
Kwani kuwa Jaji si mpaka upitie level fulani fulani kwenye Uanasheria au mie ndie sielewi
USA kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ni kazi pilikapilika zake ni hatari
Huku kwetu hata Masanja mkosa elimu anaweza kuwa kiongozi
Bongo enzi za maraika ilikuwa unatunukiwa tu.
 
Katiba inazungumzia hayo yote anzia mamlaka ya uteuzi mpaka discilinary issues.
 
jaji anaundiwa tume ya Majaji wakiwemo wa kuoka commonwealth , then akipatikana na hatia wanapendekeza kwa Rais na kuchuku hatua ya kumvua ujaji.... sasa sijui baaada ya ujaji kama anashitakiwa...
Anaweza kushtakiwa kama ametenda makosa ya jinai. Baada ya kusimamishwa na tume anavuliwa ujaji ili aweze kujibu mashtaka mahakamani, na kama atakuwa na hatia ndio inakuwa kwaheri Ila asipokutwa na hatia anarudishiwa nafasi yake.

Ila kuhusu tume kama ikikaa kuangalia tuhuma zake other than criminal na ukiona ana makosa wanamtimua na unaweza sasa kumshtaki mahakamani kama mlalamikiwa wa kawaida tu.

Ni process ndefu kidogo na iliwekwa ili kuwalinda wawe huru kufanya kazi yao bila kuogopa (security of tenure)
 
Back
Top Bottom