sheria

  1. D

    Ladha ya Mpira wa Miguu ilikuwa zamani ; Sheria zimekuja kuharibu ladha!

    Watu wazima mtakumbuka! Mkutadha wa mpira wa miguu uligunduliwa huko China! Walikuwa wanacheza mpira wenye umbo kama la yai! Hakukuwa na magoli wala jezi kipindi hiko, watu walitambuana kwa ukoo! Kipindi hiko mpira ulichezwa kipindi cha mchana baada ya kula chakula cha mchana! Haukukuwa na...
  2. Miss Zomboko

    Serikali kuweka sheria ya kuwabana wasiovaa maboya kwenye Vyombo vya Majini

    Sheria kubana wasiovaa maboya yaja. SERIKALI iko mbioni kutunga sheria itakayowaadhibu watu watakaopanda vyombo vya majini hususani mitumbwi bila kuvaa boya wakiwa baharini au ziwa lolote nchini. Akizungumza wakati akitoa elimu kwa wananchi mkoani hapa katika Mwalo wa Ujaluoni, Lunazi, Kata ya...
  3. M

    Nampenda Rais Magufuli ila kwa sheria hii ya fao la kujitoa, nakosa ujasiri wa kusema " MITANO TENA" kwake

    Kwa wale tunaofanya kazi sekta Binafsi tunafahamu ni kwa kiasi gani sheria hii inatumika Kama kitanzi katika maisha yetu kwani wengi wetu hatuna mikataba ya kudumu hivyo Ni wachache wenye uhakika wa kufanya kazi Mpaka wafikishe umri wa miaka 60 ambao ndo umri wa kustaafu kwa mjibu wa sheria...
  4. J

    Utawala wa Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977

    Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
  5. beth

    Sheria ya Vyombo vya Habari kuanza kutumika Januari 2022

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (2016), itakayoanza kutumika Januari mwakani. Wakati akizingumza na na...
  6. D

    Sheria za urejeshaji mikopo ya Elimu ya Juu HESLB

    Soma hapa sheria ya urejeshaji mikopo ya HESLB.
  7. S

    Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  8. Red Giant

    Kwenye historia ya nchi yetu kuna mbunge amewahi peleka muswada na ukawa Sheria? Mwananchi wa kawaida anaweza andaa muswada akapeleka Bungeni?

    Bunge ndiyo linatunga sheria lakini mimi nimeona sehemu kubwa miswada huwa inatoka wizarani au kwenye taasisi za serikali. Sijawahi sikia mbunge ametoa mswada na baadaye umekuwa sheria. Imewahi tokea kwenye historia yetu mbunge katoa mswada na umekuwa sheria? Wenzetu unakuta hata hiyo sheria...
  9. Analogia Malenga

    Mwangosi: Hakuna kitu kinachoitwa kodi kubwa kwenye sheria za kodi

    Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kilimanjaro, Gabriel Mwangosi amesema hakuna kitu kinachoitwa ‘Kodi Kubwa’ kwenye sheria za kodi bali kodi inayostahili. Ameyasema hayo baada ya wamiliki wa shule mkoani Kilimanjaro kulalamikia makadiri makubwa ya kodi ambapo shule nyingi...
  10. Miss Zomboko

    Serikali kuanza kuvifunga vituo vya Daycare vinavyoendeshwa kinyume na Sheria

    Vituo vya kulelea watoto (Daycare) vinavyoendeshwa bila kibali na visivyokuwa na sifa huenda vikafika mwisho baada ya Serikali kuanza kuvifunga. Wakati Serikali ikitangaza kuchukua hatia hiyo, halmashauri ya wilaya ya Ubungo imetangaza kuanza kuvifunga vituo hivyo kuanzia Januari 21, 2021...
  11. Nyankurungu2020

    AG Kilangi kama mtu alichapa watu bakora kwa kuchukua sheria mkononi, yeye apate adhabu kwa mujibu wa sheria

    Kama kuna kipindi ambacho taifa la watanzania limeshudia mambo ya ajabu basi ni hiki kipingi cha awamu ya tano Kumekuwa na utendaji kazi ambao umeshangaza sana watu.Wasimamizi wa sheria wamegeuka kuwa kama wild animals. Ila tunashukuru sababu watanzania nao sio wajinga,ukizingua wanakuchana...
  12. J

    Makubaliano ambayo ni mkataba kwa mujibu wa Sheria ya Mikataba ya 2018

    Makubaliano yote ni mikataba kama yatakuwa yamefanywa kwa hiari na watu wanaostahili kufanya makubaliano, kwa malipo ya kitu halali na ambayo hayajatajwa waziwazi na sheria hii kuwa ni batili: Mikataba yote inatakiwa iwe kwenye maandishi au ifanywe mbele ya mashahidi, au sheria yoyote...
  13. Analogia Malenga

    Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  14. Nyankurungu2020

    Mwaka 2021 tuwe na taifa ambalo linatawaliwa kwa kufuata misingi ya sheria

    Habari za mwaka mpya wana JF. Tumeingia mwama 2021 kwa hiyo tunahitaji madalikiko makubwa sana kwenye maisha ya kila siku. Kama taifa tunatakiwa tuwe na taifa ambalo linafuatwa misingi ya utawala wa sheria. Rule of law ina maanisha kuwa hakuna atakaye kuwa juu ya sheria. Hii ina maanisha kila...
  15. Chembu

    Sheria zipi za kufuata endapo ninahitaji kufungua duka la dawa za mifugo na vyakula vya mifugo?

    Habari za muda huu mwanajukwaa. Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata. Ikiwa ni lesen na vyeti je ninapaswa kuwa na lesen ya aina gani? Na cheti cha aina gani? Na je ni lazima niwe nimesomea masuala ya...
  16. J

    Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  17. Analogia Malenga

    Waziri Dkt. Mwigulu ataka sheria zitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili Imeamriwa kufanywa hivyo ili iwe rahisi kwa wananchi kuelewa sheria hizo hususan wakati wa kesi na hukumu ili...
  18. Idugunde

    Tunapokuwa na taifa ambalao halina utawala unaofuata misingi ya sheria tutafika huko tunakoenda?

    Utawala wa sheria unataka viongozi na raia wa kawaida kuheshimu sheria na kuhakikisha wanafanya shughuli zao na kuishi kama sheria zinavyosema. Ibara ya 13(3) iko wazi kabisa kwamba haki za kiraia au masuala yote yanayohusu haki na au uvunjifu wa haki yataamuriwa na mahakama. Kama katiba...
  19. B

    Je, wapo watunga Sheria wenye sifa hizi?

    1. Watunga Sheria wenye vyeti feki 2. Wanaojua kusoma na kuandika 3. Waliowahi kutiwa hatiani kwa makosa ya uhujumu uchumi 4. Waliokataliwa na wananchi majimboni
  20. J

    Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
Back
Top Bottom