Waziri Mwigulu alisema kuwa hawezi kubadilisha kitu kwenye bajeti iliyopitishwa sababu ni sheria. Sasa kama bajeti ni sheria, na tunaona karibu kila mwaka serikali inashindwa kuitimiza bajeti yake kwa asilimia nyingi sana.
Je, kutotimiza huko siyo kuvunja sheria kunakohitaji mtu kushtakiwa?
Zaidi ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa.
Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya Delta vinavyo sambaa haraka.
Huko Paris, maandamano tofauti ya mrengo wa kulia na mrengo wa...
NHIF IBADILI SHERIA JUU YA WATEGEMEZI
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ni mpango wa Bima ya afya wa kisheria ulioanzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.8 ya mwaka 1999 ili kuwezesha upataji wa huduma za afya kwa wanachama wakuu na wategemezi wao.
Uanachama huo ni kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Bima...
Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe.
Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza.
Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure.
My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
Polisi muache kujipitisha kwa kuikumbatia CCM hata mnafika kuvunja sheria ,mkae mkijua kikinuka Miccm haitawasaidia kitu na watakaa mbali sana na nyinyi,mnamuona Sabaya? Mnawaona wale mapolisi ambao miezi michache walitesa watu kule Zanzibar na kuwagaragaza ,waliokuwa wakilindwa (CCM) wote...
Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi
Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi!
Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida!
KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
Katika maisha ya kila siku duniani kote kila haachi kupambana ili kuweza kufikia malengo yake na hatimaye kukamilisha ndoto zake kulingana na wakati alonao katika mazingira aliyopo. Mtu huyo anaweza kuwa anapambana kwa kufanya shughuli tofauti tofauti kulingana fursa inayopatikana katika...
Mifano ya sera na sheria za tanzania zinavyowanyima vijana wengi michongo.
# Mashariti ya kumiliki na kusajili maudhui ya mtandaoni( Youtube channels, Blog, website, etc)
Chanzo: https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1619110553-The Regulator Special Edition.pdf
Ni vijana au...
Habari wadau,
Sheria zetu na mtu anayekutwa na kosa la mauaji nashauri ibadilishwe waweke miaka 15 tu inatosha maana lengo la kumuweka mtu jela ni ajifunze naamini miaka 15 atakuwa amejifunza kumuweka maisha jela ni kuipa mzigo tu serikali usio na tija pia kuharibu maisha ya wategemezi wake...
Kuna watu humu mnaniambia kuwa "na diss sanaa kuoa" ila ni kwamba kwa kipindi hiki cha millenial "Ndoa hazina maana tena".
Hebu cheki hii familia.
Hii ndoa ni ya jamaa namjua.
Nipo Mkoani kwahiyo mara nyingi hunipa dili kwa simu then nasafiri naingia Dar na kuipiga dili, namwachia chake cha...
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
Ndalichako...
antony mtaka
elimu
kufanya
kupinga
kuvunja
maagizo
magufuli
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
nchini
ndalichako
nguvu
profesa
sera
sheria
wanafunzi
wapi
watanzania
waziri
waziri wa elimu
Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya.
Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote.
Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya...
Mhe. David Silinde,
Mwaka 2020 ulijivua Uanachama ukiwa bungeni nakisha kuhamia chama kingine nakuendelea na ubunge kinyume na Sheria huku ukijuwa kabisa ni kosa kisheria.
Nguvu ya dola ikatumika kukuweka jimbo ambalo si lako,huku ukiwasaliti wanachama wako waliokupokea ukitokea chuoni...
Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na kashfa mbalimbali kutoka katika majukwaa mbalimbali na hata kufikia jana tulijionea kuwa Kada wa Chama...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko.
Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
Serial Killer Acquitted:
Phillip Onyancha, who confessed to killing 17 people in 2010, has been acquitted of a murder charge by High Court.
Onyancha led police to different towns where he committed heinous acts, decomposing bodies were found.
--
A suspected serial killer facing three murder...
Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa leo katika mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara.
Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa leo na hakimu wa mahakama hiyo,Jumaa Mwambago hadi Agosti 21 mwaka huu baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.