Najiuliza kama Spika aliapa kuilinda na kuitetea Katiba, kwanini anaivunja?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
524
1,000
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA.

Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na UVUNJIFU wa KATIBA lakini Hayati BABA Wa TAIFA Hakusita KUUKEMEA. Leo Wote Watanzania ni Mashahidi hakuna AWAMU iliyochezea KATIBA ya NCHI kama AWAMU ya TANO.

Tumeshuhudia SHERIA Katili na Kandamizi Zikitungwa na Zikipitishwa Kama za Kujiwekea KINGA kwa baadhi ya VIONGOZI wetu, Sheria za Vyombo vya Habari, Vyama vya Siasa, Tume ya Uchaguzi Dhamanan.k.

Isitoshe tumeshuhudia SPIKA wa BUNGE Kiongozi wa MHIMILI wa NCHI Anakiuka Kwa Makusudi KATIBA ya NCHI kwa Kuwatetea WABUNGE Waliofukuzwa na CHADEMA Licha ya kutokuwa na SIFA za kuwa WABUNGE. SPIKA Ndugai ALIAPA kuilinda na kuitetea KATIBA lakini leo ndio KINARA wa KUIVUNJA najiuliza kama SPIKA Aliapa Kuilinda na Kuitetea KATIBA kwanini ANAIVUNJA?

Je Yeye ni Nani mpaka Afanye hivyo na Hakuna wa Kumkemea? Wakati umefika kwa wenye MAMLAKA hasa RAIS WETU Kuhakikisha Anawakemea wale Wote Wanaoichezea na Kuivunja KATIBA ya NCHI na Kuwataka Waiheshimu KATIBA yetu kama Walivyoapa.

Tukumbuke Wakati wa KUAPA Tulimshirikisha MUNGU WETU. Hivyo MUNGU Asidhihakiwe.
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,342
2,000
Wala usihangaike, kumtaja Mungu ni formality tu na haina maana yoyote.

Mapadri wanaapa kumtumikia Mungu lakini kila siku wanalawiti watoto, wanalawitiwa na mambo kama hayo sembuse Ndugai.

Hizi dini ni formality tu kuwapa matumaini watu masikini na waliokata tamaa kwamba kuna faraja baada ya maisha haya ya dhiki na tabu Duniani.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,840
2,000
WADAU Nawasalimu.Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI.Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii ,Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA.Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na UVUNJIFU wa KATIBA lakini Hayati BABA Wa TAIFA Hakusita KUUKEMEA.Leo Wote Watanzania ni Mashaidi hakuna AWAMU iliyochezea KATIBA ya NCHI kama AWAMU ya TANO.Tumeshuhudia SHERIA Katili na Kandamizi Zikitungwa na Zikipitishwa,Kama za Kujiwekea KINGA kwa baadhi ya VIONGOZI wetu ,Sheria za Vyombo vya Habari, Vyama vya Siasa,Tume ya Uchaguzi Dhamana,n.k.Isitoshe tumeshuhudia SPIKA wa BUNGE Kiongozi wa MHIMILI wa NCHI Anakiuka Kwa Makusudi KATIBA ya NCHI kwa Kuwatetea WABUNGE Waliofukuzwa na CHADEMA Licha ya kutokuwa na SIFA za kuwa WABUNGE.SPIKA Ndugai ALIAPA kuilinda na kuitetea KATIBA lakini leo ndio KINARA wa KUIVUNJA najiuliza kama SPIKA Aliapa Kuilinda na Kuitetea KATIBA kwanini ANAIVUNJA? Je Yeye ni Nani mpaka Afanye hivyo na Hakuna wa Kumkemea?Wakati umefika kwa wenye MAMLAKA hasa RAIS WETU Kuhakikisha Anawakemea wale Wote Wanaoichezea na Kuivunja KATIBA ya NCHI na Kuwataka Waiheshimu KATIBA yetu kama Walivyoapa. Tukumbuke Wakati wa KUAPA Tulimshirikisha MUNGU WETU. Hivyo MUNGU Asidhihakiwe.
Duh...!. Kuna kitu umekisema hapa kuhusu kuapa kwa jina la Mungu kuwa utailinda, kuitetea na kuitekeleza katiba ya JMT, hivyo kiapo ni maagano kati yako na Muumba wako, ukikiuka...!. Usikute hata naniliu amenaniliu kwa sababu ya kuinaniliu hii naniliu!.
Karma is real!.
P
 
Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,572
2,000
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA.

Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na UVUNJIFU wa KATIBA lakini Hayati BABA Wa TAIFA Hakusita KUUKEMEA. Leo Wote Watanzania ni Mashaidi hakuna AWAMU iliyochezea KATIBA ya NCHI kama AWAMU ya TANO. Tumeshuhudia SHERIA Katili na Kandamizi Zikitungwa na Zikipitishwa Kama za Kujiwekea KINGA kwa baadhi ya VIONGOZI wetu, Sheria za Vyombo vya Habari, Vyama vya Siasa, Tume ya Uchaguzi Dhamana,n.k.

Isitoshe tumeshuhudia SPIKA wa BUNGE Kiongozi wa MHIMILI wa NCHI Anakiuka Kwa Makusudi KATIBA ya NCHI kwa Kuwatetea WABUNGE Waliofukuzwa na CHADEMA Licha ya kutokuwa na SIFA za kuwa WABUNGE. SPIKA Ndugai ALIAPA kuilinda na kuitetea KATIBA lakini leo ndio KINARA wa KUIVUNJA najiuliza kama SPIKA Aliapa Kuilinda na Kuitetea KATIBA kwanini ANAIVUNJA? Je Yeye ni Nani mpaka Afanye hivyo na Hakuna wa Kumkemea? Wakati umefika kwa wenye MAMLAKA hasa RAIS WETU Kuhakikisha Anawakemea wale Wote Wanaoichezea na Kuivunja KATIBA ya NCHI na Kuwataka Waiheshimu KATIBA yetu kama Walivyoapa. Tukumbuke Wakati wa KUAPA Tulimshirikisha MUNGU WETU. Hivyo MUNGU Asidhihakiwe.
NYINYI BAWACHA SI MLIKUWA NA MPANGO WA KWENDA KUWATIMUA WAMAMA WENZENU PALE KIKAONI. MUMETISHIWA NYAU TUU MUMEANZA KUMKEJERI JEMADARI WETU SPIKA. CHAPENI KAZI MKAKUZE VIPATO VYENUU
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,840
2,000
Wala usihangaike, kumtaja Mungu ni formality tu na haina maana yoyote.

Mapadri wanaapa kumtumikia Mungu lakini kila siku wanalawiti watoto, wanalawitiwa na mambo kama hayo sembuse Ndugai.

Hizi dini ni formality tu kuwapa matumaini watu masikini na waliokata tamaa kwamba kuna faraja baada ya maisha haya ya dhiki na tabu Duniani.
Naunga mkono jina la Mungu is just a name, na dini ni fomalities tuu, lakini in reality, there is a Supreme Being who created us and everything, call HIM what you may, or whataver the name you can, Almighty God, The Father, Mungu, Allah, Murungu, Alfa na Omega, or whataver the name, regardless the religion or denomination, HE is there, na hukumu yake inaitwa Karma and is real!.
P
 
Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
719
1,000
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA.

Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na UVUNJIFU wa KATIBA lakini Hayati BABA Wa TAIFA Hakusita KUUKEMEA. Leo Wote Watanzania ni Mashahidi hakuna AWAMU iliyochezea KATIBA ya NCHI kama AWAMU ya TANO.

Tumeshuhudia SHERIA Katili na Kandamizi Zikitungwa na Zikipitishwa Kama za Kujiwekea KINGA kwa baadhi ya VIONGOZI wetu, Sheria za Vyombo vya Habari, Vyama vya Siasa, Tume ya Uchaguzi Dhamanan.k.

Isitoshe tumeshuhudia SPIKA wa BUNGE Kiongozi wa MHIMILI wa NCHI Anakiuka Kwa Makusudi KATIBA ya NCHI kwa Kuwatetea WABUNGE Waliofukuzwa na CHADEMA Licha ya kutokuwa na SIFA za kuwa WABUNGE. SPIKA Ndugai ALIAPA kuilinda na kuitetea KATIBA lakini leo ndio KINARA wa KUIVUNJA najiuliza kama SPIKA Aliapa Kuilinda na Kuitetea KATIBA kwanini ANAIVUNJA?

Je Yeye ni Nani mpaka Afanye hivyo na Hakuna wa Kumkemea? Wakati umefika kwa wenye MAMLAKA hasa RAIS WETU Kuhakikisha Anawakemea wale Wote Wanaoichezea na Kuivunja KATIBA ya NCHI na Kuwataka Waiheshimu KATIBA yetu kama Walivyoapa.

Tukumbuke Wakati wa KUAPA Tulimshirikisha MUNGU WETU. Hivyo MUNGU Asidhihakiwe.
Same story for all, nothing else!! Swearing in the name of lord doesn't matter. At the end of the day they do what they wanna do, no matter what they break the law and rules.
 
LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
8,791
2,000
Wakristo mara nyingi wakiapa hawamaanishi, muda mwingi hunyanyua biblia zao juu kuapa, wakimaliza wanakanyaga viapo vyao vibaya Sana.Ndugai Ni mfano tu mmojawapo.Aliapa kuilinda, kuitetea na kuitii katiba, lakini kinachoendelea Ni maasi matupu.Kwa hapa nawapongeza waislamu wanajitaidi kuheshimu viapo vyao
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,342
2,000
Naunga mkono jina la Mungu is just a name, na dini ni fomalities tuu, lakini in reality, there is a Supreme Being who created us and everything, call HIM whataver the name, Almighty God, The Father, Mungu, Allah, Murungu, Alfa na Omega, or whataver the name, regardless the religion or denomination, HE is there, na hukumu yake inaitwa Karma and is real!.
P
I agree with you too Sir.

Mimi binafsi I believe there is a deity, something that created the universe, created laws to govern the universe lakini sio huyu anaeelezewa kwenye biblia ama quran, that is a monster.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
10,391
2,000
Duh...!. Kuna kitu umekisema hapa kuhusu kuapa kwa jina la Mungu kuwa utailinda, kuitetea na kuitekeleza katiba ya JMT, hivyo kiapo ni maagano kati yako na Muumba wako, ukikiuka...!. Usikute hata naniliu amenaniliu kwa sababu ya kuinaniliu hii naniliu!.
Karma is real!.
P
Welcome home, dear friend Paschal Mayala.
Looks like you are on your way back from the 'LOST' city.
AMEN
 
mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
20,006
2,000
Naunga mkono jina la Mungu is just a name, na dini ni fomalities tuu, lakini in reality, there is a Supreme Being who created us and everything, call HIM whataver the name, Almighty God, The Father, Mungu, Allah, Murungu, Alfa na Omega, or whataver the name, regardless the religion or denomination, HE is there, na hukumu yake inaitwa Karma and is real!.
P
Ingekuwa ruksa kutoa LIKE zaidi ya moja, ningeshinda kukupa LIKE kila nikirejea post hii siku hii ya leo
Ombi langu kwa woote wenye Hofu ya Mungu wekeni LIKE kwenye Post ya Pascal
 
mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
20,006
2,000
I agree with you too Sir.

Mimi binafsi I believe there is a deity, something that created the universe, created laws to govern the universe lakini sio huyu anaeelezewa kwenye biblia ama quran, that is a monster.
Kumbe bado Unaamini ww ni dhaifu na Unahitaji Nguvu ya Ziada!
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,813
2,000
Tukumbuke Wakati wa KUAPA Tulimshirikisha MUNGU WETU. Hivyo MUNGU Asidhihakiwe.
Mbowe aliapa kanisani wakati wa kufunga ndoa kuwa atakuwa na mke mmoja tu na hatakuwa na wengine

Joyce MUKYA vipi? Mbowe ilikuwaje tena akawa na Joyce Mukya? kiapo cha bungeni na kanisani kipi kikubwa?

Mbowe anamudhihaki Mungu au?

Usihukumu usije ukahukumiwa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,813
2,000
Mbowe aliapa kanisani kuwa na mke mmoja mbona alivunja kiapo

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,223
2,000
Mkuu katiba na sheria zinawekwa ili kuzuia "tabia za asili za kibinadamu"; ukatili, ubabe, uonevu etc na ili zifanye kazi sawasawa lazima kuwe na kujiheshimu hasa hasa kwa watu wanaopaswa kuzisimamia. Maana kama Executive inashirikiana na Legislature kutojiheshimu na kuvunja sheria na katiba huku wakisingizia technicalities, ni ngumu kuwawajibisha. Hata tukienda mahakamani, tunaenda kukutana na Jaji Feleshi na Biswalo au yule aliyewafutia dhamana kina Mbowe akapewa zawadi ya ujaji, matatizo matupu.

Tusivunjike mioyo, Mungu anazidi kufunua uhalisia wao, Watanzania wamewakataa ndio maana uchaguzi uliopita walitumia nguvu nyingi ili uchaguzi usifanyike, wapitishwe tu na Tume
 
Mwanzambaya

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,105
2,000
Duh...!. Kuna kitu umekisema hapa kuhusu kuapa kwa jina la Mungu kuwa utailinda, kuitetea na kuitekeleza katiba ya JMT, hivyo kiapo ni maagano kati yako na Muumba wako, ukikiuka...!. Usikute hata naniliu amenaniliu kwa sababu ya kuinaniliu hii naniliu!.
Karma is real!.
P
majanga na vifo vingi vinavyowafika wanasiasa ni viapo vyao kumuhaidi Mungu, na baadae kwenda kinyume navyo,
Hata dikteta wa chattle kiapo kimefupisha utawala wake ,

Na siku wakija kuligundua ili, hawatoapa kwa vitabu vya Mungu
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,676
2,000
Kitendo cha Ndugai ni reflection ndogo tu ya mindsets na hulka yetu. Ndugai allegedly anavunja vifungu kadhaa vya Katiba ya Nchi. Je, sisi kama wananchi na viongozi wa vyama vya siasa tumechukua hatua zipi na zipi? Hakuna sehemu labda na sisi tunavunja vifungu?

Kulialia tena kupitia social media na press conferences hakutatufikisha popote pale.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom