Sharose Enterprise
Member
- Apr 16, 2021
- 19
- 20
Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako.
Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake.
1. TIN ya biashara
2. Leseni ya biashara
Na hili kuiongezea thamani biashara yako basi unaweza kuipa jina kwaajili ya kuitofautisha na zingine sokoni kwa kusajili jina la biashara yako na unapoamua kusajili jina la biashara zingatia wateja wako kama unahitaji kufanya kazi kwa kushirikiana na Makampuni mengine basi jitahidi na wewe usajili Kampuni.
Kwani Kampuni itakutenganisha wewe na Rasilimali zako na hata kama itatokea shida basi rasilimali zako zitakuwa salama na itaangaliwa Kampuni.
Kama una wazo la kumiliki Kampuni yako au jina la biashara basi wasiliana nasi tukupatie huduma safi na kwa uwakika zaidi.
Leo tumekuletea ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara hivyo unaweza kukamilisha swala lako lililokuwa linakuumiza kichwa kwa muda mrefu.
Karibu sana
Sharose Enterprise
Bunju B, Dar es Salaam
Simu namba: 0755 440 118
Email: sharoseenterprisetz@gmail.com