beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira amesema bado kuna changamoto kubwa kisheria kwa upande wa suala la kugharamia matunzo ya Watoto kwa Wanawake wanaoachiwa kuwalea bila msaada wa Baba.
Akiwa Bungeni amehoji kama Serikali haioni haja ya kurekebisha Sheria zilizopo ili gharama ya matunzo ya Watoto iendane na hali ya Uchumi na Maisha ya sasa.
Kuhusu suala la ongezeko la Watoto wanaotelekezwa, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amekiri tatizo Watoto kutelekezwa ni kubwa na ipo haja ya Serikali kufanya harakati za ziada ili kulidhibiti.