sherehe

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Manara: Sherehe ya Harusi itafanyika Benjamin Mkapa Stadium

    Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema, "Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party...
  2. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kocha Jurgen Klopp atangaza kuachana na Liverpool mwisho wa msimu huu 2023-2024

    Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametangaza kuachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu kwa kile alichosema kwamba ‘amechoka’. Klopp alijiunga na Liverpool Oktoba akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani na mkataba wake wa sasa na timu hiyo unafikia mwisho mwaka 2026 lakini ameamua kuachana na...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia sherehe ya Ngosha ilivyokuwa

    Msukuma kavuta Jiko na hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya Sherehe.
  4. Rare123

    JamiiForums Tanzania Michango ya Harusi na SendOff

    Habari wanajamii, Mimi ni software developer, nilikuwa nina idea ya kutengeneza app/tool ya kusaidia kufuatilia na kukumbusha watu ahadi za michango kwa ajili ya harusi na sendoff. App ina lengo la kutatua kero zifuatazo kwa mtu anayefuatilia, kukusanya na kutoa taarifa za makusanyo ya...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anazikubali sherehe za Mapinduzi?

    Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!? Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno 1698, Zanzibar na Pemba zilikua chini ya watawala wa Kiarabu kutoka Omani, na baada ya zaidi ya karne...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mshikamano: Watanganyika Wajazana Zanzibar kushiriki Sherehe za Mapinduzi Matukufu

    . Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika . Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo...
  7. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar sherehe zipo. Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyia sherehe hakuna. Huu siyo upofushaji?

    Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru. Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea siku yao ya Uhuru kwa kishindo wakiwa pamoja na Rais wao Dr. Ruto. Nchi nyingi hasa zilizojikomboa...
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya kufagia makaburi " qingming festival" wachina wana mambo!

    Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya...
  9. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

    Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja. Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu Sherehe ni tarehe 1 Januari, 2024 na tarehe 2 Januari, 2024 Mabosi wanatuhitaji tukaendelee Kuwajibika Maofisini sawa?

    Sasa Wewe Gambeka ( Lewa ) sana tarehe 1 Januari, 2024 ukidhani Sherehe ipo hadi tarehe 2 Januari, 2024 kisha tarehe 3 ukienda Kazini ukute tayari Nafasi yako imeshazibwa na Mfanyakazi mpya uanze Kulia na kuanza Kuhangaikia kutafuta Wahubiri mbalimbali Wakuombee ili urejee Kazini au uanze kukita...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

    Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili. Mishahara duni ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Kuacha kufanyika...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Futa sherehe za Tanganyika hewa Desemba 9

    Kwa nini Watanganyika wote mamilioni kwa mamilioni tunageuzwa wendawazimu na chama cha CCM kwa kutuchezea mchezo wa danganya toto ? Haiwezekani tunambiwa Desemba 9 ni sherehe za uhuru wa Tanzania bara huu ni upumbavu, Tanzania bara ni uchafu gani huu ? Hili neno takataka linaloitwa Tanzania...
  16. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya kabla ya sherehe za mwisho wa mwaka

    Ukiona yafuatayo yanakuandama jitafakari: 1. Kutumwa tumwa na hata uliowazidi umri, 2. Kuombwa kuchinja, kukata kuni, kuosha magari, kutafuta ng'ombe/mbuzi wa kitoweo, n.k 3. Kutoshirikishwa kwenye maamuzi ya familia/ukoo, 4. Vikao vinaendelea wewe unawekwa busy kuandaa maakuli, 5. Kuombewa lift...
  17. Lovelovie

    JamiiForums Tanzania Tunapamba sherehe aina zote

    Tunapamba harusi, sendoff, birthday party, graduation na pia tunakodisha ukumbi wa kwa bei nafuu. Tunapatikana Mwanza Capripoint Kwa mawasiliano zaidi 0694089649. Karibuni sana.
  18. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona sherehe haijakamilika?

    Wana maakuli kwema? Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na kachumbari naona kama siku kawaida, ukolezo hapo kwenye pilau nyama, sio pilau kuku au mboga nyingine...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru wa Zambia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano. Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
Back
Top Bottom