DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,580
- 17,686
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa ya jando na unyago.
Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.
Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.