sherehe

  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Huu ni Msiba au Sherehe?

    Nimeikuta uko mitandaoni Imenifikirisha sana.!!
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kama huna Milioni 30 usimtafute Mc Gara B kwenye sherehe yako

    MC Gara B anasema ili aje afanye kazi nzuri kwenye sherehe yako basi ubaoni andaa Milioni 30. Kwako mwalimu kashasha…
  5. W

    JamiiForums Tanzania P Diddy aliwasainisha Wageni waliokuwa wakihudhuria Sherehe zake Mkataba wa Faragha

    Fahamu Masharti ya Kudumu ya Mkataba wa Faragha wa waalikwa katika Sherehe za P Diddy Mhusika hapaswi kusema yatakayotokea katika sherehe hizo hadi kifo cha P Diddy na miaka 20 zaidi baada ya kifo, huku Mkataba huu ukiwa na Wastani wa muda wa takriban Miaka 70 kwa mhusika. Mkataba huu pia...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Cameroon: Bibi harusi anguka ghafla na kuaga Dunia wakati sherehe za harusi zikiendelea

    Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia. Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon ========= Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Wazayuni dhidi ya Netanyahu.Familia za wanajeshi waliovamia zilisusia hotuba ya Netanyahu kwenye sherehe

    Wanaukumbi. Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao wanakufa vitani umeshindwa kurudisha mateka...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini. Viwango : Single Tsh. 30,000/= Double Tsh.50,000/= Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Sherehe nyumbani Kwa Pdidi

    Ni furaha na kucheza nyumbani Kwa didi
  10. Crucifix

    JamiiForums Tanzania Meza za Sherehe, Viti vya Harusi, Mapambo na mahitaji mengine ya sherehe

    1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12) 2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000) 3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali) 4. Kreti ya Glasi 100,000 (zipo za kuhifadhi glasi 25, 36 na 49) 5. Viti vya Maharusi 2,500,000 (kutoka nje) 6. Stuli za...
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwenye sherehe za uapisho wa Rais Kagame Rwanda, tuna la kujifunza kutoka kwao!

    Hakika zile sherehe zilifaana sana kuanzia maandalizi, muonekano, mpangilio na protoko isee hawa wenzetu wameweza na wanajua kweli. wenzetu si wakispot spot wanania kweli ya jambo na inaonekana wakiamua kitu lazima wafanye. Kwetu tanzania tunaweza kufanya zaidi ya wao kama tu tutapangilia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje kwenye sherehe za harusi Kwa wazazi waliotengana?

    Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia shughuli za kumuoza Binti na je vipi kuhusu kuwapa nafasi ndugu wa pande zote... Mimi naona Kuna haha ya...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Itifaki ndefu kwenye sherehe na mikutano ya kawaida au uzinduzi ni kupoteza muda?

    Mojawapo ya mambo yanayozisaidia jamii kupiga hatua ya maendeleo ni pamoja na kujali muda.Naangalia tamasha la bulabo lililopo live TBC.Kila kiongozi anayepanda kuanza kuzungumza,anataja itifaki ya viongozi waliopo.Muda unapotea sana kabla hata mgeni rasmi hajaanza kuzungumza.Sisi kama...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukihudhuria harusi au sherehe utagundua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nchini

    Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa. Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tajikistan lenye asilimia 96% waislamu, lakataza uvaaji wa hijab, na watoto kutohudhuria sherehe za eid

    Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote...... Dunia inaendelea kupata elimu. ====================== Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be...
  17. mkalamo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Harusi za wenye hela Samatta, Majizo, Lulu, Millard Ayo zipo simple hakuna sherehe. Ila Harusi za vijana hohehahe tunakabana michango

    Habari wadau. Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili. Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ukraine kufanya gwaride la sherehe za mashoga June 2024.

    Sasa mambo ni njenje,hakuna Siri Tena. Mashoga wa Ukraine wapanga kufanya gwaride mwezi juni 2024 . Serikali ya kiev yabariki Tena jambo hilo kama ilivyobariki miaka ya nyuma. Amini usiamnini huenda kinachowapata Ukraine Sasa hivi ni adhabu toka kwa Mungu,si bure. Gwaride ni sawa na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

    Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
Back
Top Bottom