serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huu Upuuzi ulioota Mizizi Serikalini miaka karibia 25 sasa ndiyo mnaushtukia leo? Acheni Unafiki na hadaa

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi amesema mmomonyoko wa maadili ni mkubwa na shida kubwa ipo kwa watoto wa viongozi, ambao hata nafasi za ajira zinapotoka hawataki kushindana wengine bali wanaziomba nafasi hizo kwa barua ya maelekezo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia aunda Kikosi cha Kudhibiti Rushwa na kurejesha Mali zilizoibwa Serikalini

    LIBERIA: Rais Joseph Boakai ametangaza kuunda Kikosi Kazi kitakachokuwa na jukumu la Kukabiliana na Vitendo vya Rushwa pamoja na kurejesha Mali za Serikali zilizoibwa kifisadi. Kupitia tangazo hilo, Rais Boakai ameagiza Kikosi hicho kumtafuta Afisa wa ngazi yoyote aliyehusika na Rushwa kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili sana na uwezo wa kuzitumia unakuwa hautafuti kazi ila unatafutwa ili usaidie

    Hii huwa naisema kila siku MTU mwenye AKILI Sana na akawa anajua kuzitumia , huwa hatafuti kazi. Mfano MAX MELO muhaya serikali ilimtafuta ili awasaidie kazi Hivyo vijana self -investment ndo kila kitu , jithadi uwekeze katika wewe na banda ya hapo watu watawekeza katika wewe. Ajira umekuwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Wahandisi wa Halmashauri wanasimamishwa sana?

    Wahandisi wanaoajiriwa Halmashauri na Taasisi zingine za kiserikali wanautofauti gani na Kwanini wanasimamishwa sana? Serikali inajitahidi kuajiri wahandisi (engineers) kwenye taasisi zilizopo chini ya TAMISEMI hasa HALMASHAURI kwa lengo la kusimamia Miradi ya ujenzi ambayo serikali inatumia...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu: Wafanya maamuzi serikalini husomea makabrasha vikaoni

    Hello mwanaJF kila ninapopata nafasi nitakujuza mambo ya hovyo ambayo hufanyika serikalini na wengi wetu hatufahamu. Wengi tunafahamu zaidi kuhusu matokeo na sio chanzo. Wengi wetu hudhani kwamba watumishi wa serikali ni watu makini sana na hufanya majukumu yao kwa ustadi na weledi. Acha...
  6. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

    Je, 1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania? 2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania? 3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea day 100 Gaza, Marekani kukabiliwa na Migomo serikalini

    1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo. 2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba! 3. Kwamba kitanuka vilivyo huko kuelekea anniversary day 100 ya uvamizi wa Israel Gaza. 4. Mahsusi...
  9. JamiiForums Tanzania Kushika mimba Tanzania isiwe hofu kupoteza ya maisha.

    Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia. Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mchango wa ujenzi wa kanisa aliotoa Rais Samia unatoka serikalini au mfukoni kwake? Nini kipo nyuma ya mchango huo?

    Wakuu, Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake. Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake? Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoboa maisha bila kuwa mwajiriwa wa serikalini?

    Hivi naweza kutoboa haya Maisha? Ikiwa Sina kazi, mimi ni (mshenintown) Nataman kuwa na Maisha ya mtu wa Kati. Jamani mliotiboa mlifanyeje mbona Mambo magumu hivi.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote. Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

    Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira. "Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini. Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
  14. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kuna ubaya endapo baadhi ya nafasi Serikalini zitajazwa na wageni?

    Sababu mojawapo iliyosaidia Korea Kusini kuendelea ni viongozi wake kutambua mapema walichokuwa wanakihitaji na kutumia kila fursa waliyoipata kuifukuzia. Inawezekana, hata sisi tungefanya kama wao, nchi yetu ingekuwa kama yao, au zaidi. Hilo ndilo limenipelekea kufikiria kuwa ikiwa tutawaazima...
  15. JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

    Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi Serikalini ni vibaka waliojivika vazi la uongozi

    Habari za leo wana jamvi, Moja kati ya vitu vya muhimu sana ili nchi iendelee, lazima uongozi uwe vizuri. Viongozi wawe waadilifu na watambue kwamba wapo kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi kwa ujumla. Bahati mbaya sana tuliyo nayo kama Taifa, ni ile hali ya viongozi...
  18. JamiiForums Tanzania ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

    Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi. Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda anaisisimua CCM na kuwazindua watendaji mazoea chamani na Serikalini

    Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Taifa, Paul Makonda kwa hakika anaisisimua CCM vilivyo na ana wasanua wananchi hali halisi ya upinzani nchini. Ni kama vile hawapo tu, watoa taarrifa hawa nchini. Anawazindua watendaji mazoea chamani na serikalini. Ama kwa hakika watendaji wote mazoea wataongeza...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…