Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.

"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.

Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya kilimo, na wengine huishia kuajiriwa Serikalini kama Mabwana Shamba!

Huwa wanafanya kazi gani? Wanakaa tu ofisini?
Kwa nini wasiwe wanawatembelea wakulima mashambani?

Au, kuwa bwana shamba hakuhusiani na maisha ya shamba?
 
Wengi wao huwa wanaishi mikoani hasa wilaya za vijijini. Kama unaishi town sana huwezi kuwaona au kuwasikia.
 
Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.

"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.

Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya kilimo, na wengine huishia kuajiriwa Serikalini kama Mabwana Shamba!

Huwa wanafanya kazi gani? Wanakaa tu ofisini?
Kwa nini wasiwe wanawatembelea wakulima mashambani?

Au, kuwa bwana shamba hakuhusiani na maisha ya shamba?
Kwani vijijini hawako tena? Nadhani ni kwa sababu siku hizi pikipiki zinamilikiwa na kila mtu. Zamani ukiona mtu mwenye pikipiki basi ni bwana shamba au mifugo. Watu binafsi wenye pikipiki walikuwa wachache sana na wanajulikana wilaya nzima.
 
Wapo wachache sana wanaipenda kazi yao na wamekuwa mfano wa kuigwa ktk kufanya kilimo bora cha kisasa.
 
Back
Top Bottom