Ukiwa na akili sana na uwezo wa kuzitumia unakuwa hautafuti kazi ila unatafutwa ili usaidie

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,084
45,739
Hii huwa naisema kila siku MTU mwenye AKILI Sana na akawa anajua kuzitumia , huwa hatafuti kazi.

Mfano MAX MELO muhaya serikali ilimtafuta ili awasaidie kazi

Hivyo vijana self -investment ndo kila kitu , jithadi uwekeze katika wewe na banda ya hapo watu watawekeza katika wewe.

Ajira umekuwa wimbo Ila hapo hapo serikalini kuna watu wana Ajira tatu hadi NNE
 
FORMULA NI HII

“Tafuta kwanza nafasi,Ukipata nafasi onesha uwezo,uwezo utakujengea jina,jina litakuletea kipato na mafanikio Hizi ni hatua muhimu katika maumivu ya mchakato wa lazima,Hakuna namna ingine,Acheni huo uongo wa kudanganyana Hakuna Shortcut” - Ruge Mutahaba
 
Ninachoona ili utoboe kwanza lazima uoneshe una Nini cha kuoffer Kwa watu na hili linawezekana ukiwa tayari unayo nafasi ya kuonesha ulichonacho, ukishaonesha ulichonacho na kukifanya Kwa ubora mkubwa bila kuyumba Kila siku mara miaka basi vitu vizuri huja vyenyewe na hichi ndicho ninachoamini.
 
Back
Top Bottom