serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

    Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university. Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke. Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

    1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ. 2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?) 3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje. 4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom 5.Jana msibani alikuwa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Mndeme: Wafanyabiashara msigome, tumieni busara kuwasilisha hoja Serikalini

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wafanyabiashara kuepuka kufanya migomo isiyokuwa na tija badala yake kutumia hekima na busara kuwasilisha hoja zao serikalini. Mndeme ametoa rai hiyo wakati anazungumza katika kikao cha wafanyabiashara Mkoani Ruvuma kilichofanyika hivi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa makaa ya mawe pale Kiwira ulirudishwa Serikalini au bado ni wa Mkapa?

    Amani iwe nanyi, napenda kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Hivi ule mgodi wa makaa ya mawe pale kiwira ulirudishwa serikalini au bado ni wa mh mkapa? Pia napenda kuuliza ile mitambo ya Richmond pale ubungo ambayo imebadilishwa jina sasa inaitwa DOWASI ni Mali ya serikali au bado ni ya mh...
Back
Top Bottom