serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

    Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi Serikalini ni vibaka waliojivika vazi la uongozi

    Habari za leo wana jamvi, Moja kati ya vitu vya muhimu sana ili nchi iendelee, lazima uongozi uwe vizuri. Viongozi wawe waadilifu na watambue kwamba wapo kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi kwa ujumla. Bahati mbaya sana tuliyo nayo kama Taifa, ni ile hali ya viongozi...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

    Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi. Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anaisisimua CCM na kuwazindua watendaji mazoea chamani na Serikalini

    Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Taifa, Paul Makonda kwa hakika anaisisimua CCM vilivyo na ana wasanua wananchi hali halisi ya upinzani nchini. Ni kama vile hawapo tu, watoa taarrifa hawa nchini. Anawazindua watendaji mazoea chamani na serikalini. Ama kwa hakika watendaji wote mazoea wataongeza...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    Ikiwa alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza kipato sawa kila mwezi 1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake. 2. Aliejiajiri anaweza...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza Watumishi 5,740 wamekubaliwa kuhama Serikalini

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Adolf H. Ndunguru ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa Watumishi 5,740 walioomba kuhamia kwenye Halmashauri mbalimbali nchini ambapo amesema ofisi yake imefanyia kazi maombi yote ya uhamisho yaliyowasilishwa kuanzia January–July, 2023. Amewataka Watumishi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa maskini walioajiriwa serikalini wanatumika kuwaadhibu wazazi na ndugu zao waliowasomesha wakiamini wanalinda nchi

    Wanaoangaika na maskini wa nchi ni watoto wa maskini walioajiriwa serikalini. Viongozi wa TANAPA wameliwa vichwa kwa sababu tu wamegusa maslahi ya royal family. Viongozi wa TANAPA wameona namna wanasiasa wasivyo na fadhila; wamepambana na Masai wakiamini watapanda vyeo wameambulia fedhea ya...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti. Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
  10. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maridhiano ya kuingiza upinzani Serikali

    Nina maoni kwamba hoja hii inaonekana kuwa na mantiki fulani. Kuna dalili za upinzani kuonyesha nia ya kushirikiana na serikali kwa maslahi ya taifa na wananchi. Hii ni ishara nzuri kwa ustawi wa nchi na amani. Mapendekezo yao, hasa kuhusu masuala kama tume ya uchaguzi, katiba mpya, na maendeleo...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Serikalini dokezo linasainiwa kwa miaka mitatu

    Mkuu wa kitengo anapelekewa dokezo 2020 anakuja kulisaini 2023. Hii nchi CCM mnatufikisha mahala pa ajabu sana. Hawa watu kwanini mnawaacha Ofisini?
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM adaiwa kuwatapeli Vijana waliotaka connection za ajira Serikalini

    Hii ni video ya mmoja wa waathirika akisimulia mkasa huo. Kama ni kweli TAKUKURU fanyeni kazi yenu kwa watoaji na wapokeaji https://youtu.be/0FShyxkzsLY?si=ZnTW2Uee3bRbNQks
  14. Benjamini Netanyahu

    JamiiForums Tanzania Mbinu zinazotumika kutafuna fedha za umma na vigogo serikalini

    Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwa na imani na Serikali katika mageuzi ndani ya mashirika na taasisi za umma, akiwaonya mawaziri wanaoyatumia kujinufaisha. Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ajira serikalini

    1. Wadau habarini, nimeitwa kwenye usaili tangazo la tarehe 11/08/2023 Nimeitwa wakati huo Nina barua ya utumishi ikinitaka niombe ili niweze kupangiwa kazi, Sasa je nikienda na barua yao nitafanya interview ama laa na nikifeli japokuwa natarajia kufaulu watafanya nini wakati huo barua ina...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

    Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana? Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Consession na lease agreements zinapoandaliwa muda huu, watendaji serikalini wakumbuke maana ya usiri kazini (confidentiality)

    Kosa la kuruhusu mkataba kuvuja na wasiotakiwa kuuona limeshafanyika na gharama ya kujitetea zimekuwa kubwa kwa upande wa serikalini. Mijadala imekuwa ni mingi kutoka kwa watu wa kada mbalimbali juu ya masuala ya kisheria. Nani alivujisha siri za serikali? Wahusika wanajuana na wameshaiona...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka; wanaopata mkate kutoka serikalini wapo kushiba; wasiopata mkate wanatafuta pakupata mlo

    Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu. Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba. Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

    Ameyasema hayo katika Club House. Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika. Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili. Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Msishangae Makonda akiteuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani. Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa. ===== UPDATE: Machi 31, 2024: Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda...
Back
Top Bottom