serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  2. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Arusha: Vigogo Serikalini waitwa kortini kesi ya mzee aliyepotea Loliondo

    Muktasari: Vigogo walioitwa kwenye shauri hilo bila kufika ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mkuu wa mkoa wa Arusha, Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Arusha, mkuu wa wilaya ya Ngorongoro na mkuu wa polisi wilaya ya Ngorongoro. --- Kesi ya kulazimishwa kupotea...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wenye mamlaka serikalini: Itumieni JF kubaini mapungufu katika maeneo yenu mnayosimamia/mnayoyaongoza

    JF ni hazina (rich source of information) ya taarifa mbali mbalimbli zinazotolewa na members. Fahamu kuwa kila idara/sekta/eneo la kiserikali la kazi haiwezi kukosa mtu member wa JF. Hivyo kama kuna maovu yanayotendeka, ukifuatilia JF utayakuta wameyataja/wameyaandika. Unaanzia hapo unatafuta...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mashimba Ndaki ametumbuliwa. Je, Mawaziri Mizigo wamekwisha Serikalini?

    Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbowe aitaka CCM iweke mfumo wa kudhibiti viongozi wanaoweza kuingia Serikalini, atao mfano ANC inavyoweza kumng'oa Rais

    Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache iliyopita na kuitaka CCM badala kuwalinda hata wanaofanya dhambi ya wazi. Mbowe amesema ameamua kufunguka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Mwanukuzi kupinga wezi wa kuku kufungwa wezi wa mamilioni serikalini kubaki ofisini

    Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini. "Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afichua siri ya kuwatumbua viongozi Serikalini

    Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
  8. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Nabii Suguye lafunguliwa, atuma ujumbe serikalini

    Kanisa la huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya Pili limefunguliwa na kuendelea kutoa huduma baada ya kufungwa kwa miezi mwili. Dar es Salaam. Nabii wa Kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya pili jijini Dar es...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukiajiriwa ni lazima uwe Mwanachama wa vyama vya Wafanyakazi?

    Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama. Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Panga Pangua ya Rais Samia yatanda serikalini

    Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza ahadi yake ya kuisuka upya Serikali. Kufuatia ahadi hiyo ambayo haijulikani ukomo wake, baadhi ya wateule wanaishi kwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Licha ya maovu ya dhahiri yanayofanywa na watendaji Serikalini, je ni kwanini hatua za kuwawajibisha hazichukuliwi?

    Tunaona kwenye ripoti mbalimbali za fedha za Kila mwaka za CAG, zikiibua ufisadi mkubwa wa mabilioni, unaofanywa na watendaji Serikalini, lakini tunaona ni "business as usual" inayoendelea na hakuna hatua zozote za kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya Sheria zinazochukuliwa! Tunashuhudia...
  13. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi. Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Hali ya wizi Serikalini awamu ya Sita imevuka mipaka

    Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa === Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi, awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda {MUWASA}, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi...
  15. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Msaada wa udhamnini ,expecial anaefanya serikalini

    Wakuu, Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
  16. Street brain

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
  17. P

    JamiiForums Tanzania Elfu ishirini kila siku ya umeme mpaka 2025! Laana mbaya inawahusu wafanya maamuzi Serikalini

    Kombe la dunia ndio habari inayotamba kwa sasa. Mataifa 32 yenye ubora wa viwango vya soka yanachuana mpaka zinabaki timu mbili halafu zinagombea kombe siku ya fainali. Mpira ni mchezo wenye kupendwa kuliko michezo mingine yoyote ile. Hawa tunaowaona wamejaa majukwaani na matarumbeta yao wakiwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama Taasisi Serikalini

    Habari, Mimi ni Auditor katika ofisi ya CAG, naomba kufahamu utaratibu mzuri wa kuhamia BOT. Asanteni
  19. T

    JamiiForums Tanzania KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Wizi Serikalini: Wabunge wanawakwepa Mawaziri na Makatibu Wakuu makusudi?

    Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao ni wabunge wenzao. Ukweli ni kwamba mawaziri wote wa serikali ya rais Samia wanashindana kuiba pesa...
Back
Top Bottom