Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

billy1999

Member
Oct 2, 2023
15
8
Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua msaada kwa watanzania lakini sijui ata nianzeje ili kufanikisha
 
without an MVP/prototype?

It’s possible lakini. Kuna wengine waelewa wanaweza kukupish uka develop MVP.

But one way ya ku convince investors ni wewe mwenyewe ku finance your MVP. From there you showcase its working and develop business model and hence seek funds.

I know it’s pretty tough ku develop MVP on your own. Self-funding ni changamoto sana.
 
Tengeneza pitch deck ya app unayotaka kudevelop angalia mifano ya pitch deck kupitia canva then tumia platform kam github kuexplore your idea
 
Back
Top Bottom