BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,377
- 8,121
LIBERIA: Rais Joseph Boakai ametangaza kuunda Kikosi Kazi kitakachokuwa na jukumu la Kukabiliana na Vitendo vya Rushwa pamoja na kurejesha Mali za Serikali zilizoibwa kifisadi.
Kupitia tangazo hilo, Rais Boakai ameagiza Kikosi hicho kumtafuta Afisa wa ngazi yoyote aliyehusika na Rushwa kutoka katika Serikali zilizopita na Serikali ya sasa pamoja na kuanza uchunguzi dhidi ya tuhuma zitakazobainika.
Aidha kwa mujibu wa taarifa, Rais huyo mpya amesema Mali zote za Serikali zilizouzwa na kununuliwa kinyume na utaratibu zirejeshwe haraka na Watuhumiwa wanaoishi nje ya Liberia warudishwe nyumbani kujibu mashtaka yatakayofunguliwa dhidi yao.
Uamuzi huo unakuja ikiwa ni siku 44 tangu achukue Madaraka kutoka kwa Nyota wa Soka, George Weah anayelaumiwa kushindwa kudhibiti Rushwa na Ufisadi nchini humo.
=======
Liberia's President Joseph Boakai has set up a task force to crackdown on corruption and to recover stolen state assets.
Mr Boakai ordered it to identify and prosecute any senior officials involved. Current and past government officials are to be investigated.
His executive order said assets "wrongfully acquired at the expense of the government and people of Liberia" should be returned.
It was imperative to "curtail this alarming menace that has engulfed our country", the president said.
People who purchased government assets illegally would also be forced to return them.
Individuals who live outside of Liberia and are suspected of siphoning off public assets could face extradition.
Funding has been allocated to the task force, which will begin work immediately.
On the campaign trail last year, Mr Boakai promised to tackle corruption.
He went on to win the election, beating former President George Weah in a run-off with just over 20,000 votes.
Mr Weah's presidency was plagued with accusations of corruption and faced criticism for the excesses of senior officials.
After Mr Boakai's inauguration in January he asked former officials to turnover government assets they had in their possession “without delay and hesitation”.