Inawezekana kutoboa maisha bila kuwa mwajiriwa wa serikalini?

Hivi naweza kutoboa haya Maisha???

Ikiwa Sina kazi .....

Mimi ni ( mshenintown)

Nataman kuwa na Maisha ya mtu wa Kati,
Jamani mliotiboa mlifanyeje mbona Mambo magumu hivi

Wewe sio misheni town, usingeulizwa swali kama hilo. Mtaani hakuna kushindwa, ni mapambano, la maana tu isiwe haramu, kama unashindwa na una vyeti kimbilia ajira kablq umri haujaisha.
 
Hivi naweza kutoboa haya Maisha???

Ikiwa Sina kazi .....

Mimi ni ( mshenintown)

Nataman kuwa na Maisha ya mtu wa Kati,
Jamani mliotiboa mlifanyeje mbona Mambo magumu hivi
Mawazo ya hovyohovyo kabisa... Unajua watumishi wa serikali ni asilimia ngapi ya watanzania wote!?? Je wametoboa !?? .....Wote ungaunga mwana..... Afadhali kidogo uhamiaji, tra, tanapa kifupi wakala labda ..ikija huku serikali kuu na za Mitaaa utalia mdogo wangu... Tena ukiwa nje ya serikali kitoboa ni afadhali kuliko ukiwa humu ndani.... Mi wangeruhusu Ile SHERIA ya pensheni ukifikisha miaka 15 inakuwa pensionable hakiii ningetoka .... Washenzi wanataka utoke hauna nguvu. .
 
Kutoboa ni kuwa malengo makubwa tu na sio lazima uwe serikalini au private.

Ukiwa BAHILI Sana
Hard work
Work smart
You earning more and spending less
Consistency and persistence.

Kuwa na hustler spirit 24/7
Embrace cleanest life style.
Abstain Alcohol
Absatain sex
Strengthen spiritual ,Tend to go deep in prayers.

Focus and shoot one goal then shoot another goal time to time.

Giving back also it can raise ur money mainly in charity .

Avoid Entetlement trap- usimuahdi MTU kuwa utampa jambo lolote ishi bila kutoa favor Kwa kipindi cha kuanzia 1-10 yrs hadi angalau balance isome pesa nyingi Sana.

Don't trust anybody even your self .

Kuwa BAHILI Sana.
Kuwa na marafiki ambao ni Kwa ajili ya kutengeneza pesa tu na sio kutumia.
 
Subiri ufike miaka 55...
 
Mondo za maana hizi
 
Back
Top Bottom