GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,128
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi amesema mmomonyoko wa maadili ni mkubwa na shida kubwa ipo kwa watoto wa viongozi, ambao hata nafasi za ajira zinapotoka hawataki kushindana wengine bali wanaziomba nafasi hizo kwa barua ya maelekezo ‘memo’.
Taarifa: MWANANCHI. Online
Tena huko UWT, JWTZ, PT, UT, Wizarani na katika Mashirika ya Umma (hasa Bandari na Tanesco) ndiyo Kunaongoza.
Hili ni BOMU kubwa la huko baadae.
Taarifa: MWANANCHI. Online
Tena huko UWT, JWTZ, PT, UT, Wizarani na katika Mashirika ya Umma (hasa Bandari na Tanesco) ndiyo Kunaongoza.
Hili ni BOMU kubwa la huko baadae.