serikali

  1. C

    JamiiForums Tanzania Funzo la mapinduzi toka nchini Mali: Maafisa waaandamizi wa Serikali ya Tanzania tendeni haki na kwa usawa kwani hamuijui kesho yenu

    Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

    Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais...
  3. Gavana

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa tena kuwaleta Mahakamani watuhumiwa wa Ugaidi, yasema italihamisha shauri Mahakama Kuu

    SERIKALI YASHINDWA TENA KUWALETA MASHEIKH MAHAKAMANI. Mawakili wanaowatetea Masheikh (Uamsho) walifika Mahakamani leo kama kawaida yao. Hata hivyo serikali haikuwaleta viongozi hao wa Dini kutoka gerezani. Shauri lilipoitwa mbele ya hakimu upande wa serikali ulidai kuwa sasa wanashughulikia...
  4. Bosco Ntaganda

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kudhibiti matukio ya Kifedhuli yanayoendelea Nchini?

    Ndugu zanguni, katika kipindi cha hivi karibuni sote tumeshuhudia matukio ya KUOGOPESHA yakiendelee nchini. Kwa uchache tu, kupotea kwa vijana walioonekana kuikosoa serikali kama Ben Saanane na wengineo, kuchapwa mvua za risasi Lissu mchana kweupe (tena katika makazi ya viongozi), viongozi wa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

    Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
  6. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Sera ya kilimo kwa Serikali hii ni ipi?

    Hello JF, Ningependa kujua sera ya kilimo ya serikali hii ya Magufuli kama ipo? Leo sijui mtalionaje hili wazo..au kama lishawahi kufanywa before?! ..ila ningependekeza serikali kuwa na Supermarkets zake:rolleyes::rolleyes: 😂😂😂 Watu wanunue na kuuza huko. Iwe cheap compared na supermarket...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Miezi tisa baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2019

    Wadau, Ni almost miezi Tisa tangu Tanzania ifanye uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama mtakumbuka, uchaguzi huu uligubikwa na kila aina ya hila na vituko. Matukio kabla ya Uchaguzi Miongoni mwa matukio ya makubwa ilikua ni pamoja na kuenguliwa kwa Wagombea wa upinzani kwa kigezo cha kukosea...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itoe mikopo kwa wahitimu kupitia HESLB

    Habari, Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu. mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo: Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali mpo wapi Wananchi tunanyanyaswa bila sababu? Yanga tumewakosea nini sisi?

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi. Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo...
  10. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

    Habarini za Tarehe 14 hii ya leo wapendwa?. Kwa namna Jeshi la Polisi limetenda kumkamata Joseph Mbilinyi kule mbeya Katika mazingira ambayo wala hayakuhitajika kumkamata mgombea huyo wa ubunge aliyeenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge baada Ya kupitishwa na chama chake Mitazamo kadhaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, akiharibu kwa Lissu na Zanzibar basi Serikali yake itapata tabu sana

    Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote. Imefikia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ikishutumiwa kufanya upendeleo kwa vyombo vya Habari itaonewa?

    Mada inahusika. Kumekuwa na wimbi shutuma la kuminywa kwa habari kwa vyombo mbali mbali lakini vile vile kumeonekana upendeleo wa wazi. Kuna haya magazeti likwemo la "TIMES OBSERVER" "JAMVI LA HABARI", "LA JIJI" na mengineyo yamekuwa yakikiuka taratibu za uandishi na hatujaona hatua za wazi...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Vyombo vya habari vya ndani vitawajibika kama vyombo vya habari vya nje walivyojiunga navyo vitakiuka sheria ya habari

    Wakuu, Hassan Abbas (Daktari) ambaye ni msemaji mkuu wa serikali ameweka rasmi kofuli la uhuru wa habari Tanzania. Akitoa ufafanuzi leo anasema "Leseni mpya ya vyombo vya habari vya ndani ambavyo vinataka kujiunga na vyombo vya habari vya nje inavielekeza kuwajibika kama vyombo hivyo vya nje...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa kuzuia tetemeko la ardhi lisilete madhara

  15. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

    Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zama hizi za Internet, serikali kuminya uhuru wa taarifa ni kujidanganya

    Kwa mujibu wa Taarifa za TCRA ambazo zimenukuliwa katika mtandao maarufu wa Wikipaedia, idadi ya Watanzania wenye kumiliki vyombo vya mawasilaino kwa maana ya Simu ni milioni 43.5 kati ya wananchi milioni 53.8 Hii inamaanisha kuwa takriban asilimia 80.8 ya wananchi wanaweza kupashana habari na...
  17. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Katika maslahi mapana ya taifa ni bora Serikali ikawekeza kwenye rasilimali watu au kwenye mali (miradi) za/ya Serikali?

    Swali langu limetokana na awamu zote za serikali za Tanzania kwanzia Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya sasa. Serikali zetu zimeshindwa kuwekeza kwenye wananchi wake, hususa kwenye tasnia ya elimu (Aina ya elimu, mitahara ya elimu, mifumo ya elimu, miundo mbinu ya elimu). Hali hii kupelekea...
  18. Invigilator

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndio siasa tunayopaswa kuwa nayo kama taifa? Magazeti haya hayaguswi

    Wakuu, kwa hali ya mambo ilivyo ni dhahiri kuwa kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali, mwenye mapenzi ya dhati na nchi yake na pia mwenye kuheshimu utu na haki za raia wenzake, kamwe hawezi kufurahishwa na ujinga huu unaondelea hapa nchini unaoitwa siasa. Sote tunafahamu siasa inapofanyika kwa...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni mikakati ya kumsaidia mkulima kila mkoa kila wilaya

    Ushauri kwa Serikali ya Tanzania ya viwanda hii bank ya TADB mliyoanzisha ifanye kila namna ifungue matawi kila wilaya ili kwenda na kasi ya Tanzania ya kilimo na viwanda haiwezekani mnawahubiria wakulima kulima na huku back up mkulima hakuna msiitegemee crdb ndio ikopeshe wakulima la sivyo...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Serikali zuia Wachezaji wenye sifa mbaya, hili la Morrison wacha lipite

    Hapoo mtaokoaa majangaa MENGI yasjyoo na msingj kama ya Morrison Ahsanteni kama mmeliona hili. Nashauri wakimalizama ya Morrison arudishwe Kwaoo akajifunze adabu na itakuwa MF kwa watakaokuja wakisikia watovu wanidhamu wanarudishwa malwaoo
Back
Top Bottom