Serikali sahihi ni ipi kati ya hizi

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
1. Serikali ya John Joseph Pombe Magufuli - Ni rais wa nchi hana pesa za mfukoni za kuendesha Nchi si mali yake binafsi...

2. Serikali ya Chama Cha Mapinduzi - Ni Serikali ya Chama Kilichopewa Dhamana ya kutawala kwa wakati huu

3. Serikali ya Wananchi wa Tanzania - Wanalipa Kodi na kuhakikisha Serikali yao inawaletea maendeleo kupitia michago yao mbali mbali

Ipi Serikali Sahihi kati ya hizo
 
Hayo yote mkuu inabidi yawe hoja moja alaf uhoji ni kwa namna gani itawezekana kufanya kitu bora zaidi kwa jamii yetu.
 
Hayo yote mkuu inabidi yawe hoja moja alaf uhoji ni kwa namna gani itawezekana kufanya kitu bora zaidi kwa jamii yetu.
Swala sio kufanya kitu bora au sahihi nime fafanua kidogo uhalali, uhalisia, umaana ukowapi na ipi sahihi kwa uelewa
 
Swala sio kufanya kitu bora au sahihi nime fafanua kidogo uhalali, uhalisia, umaana ukowapi na ipi sahihi kwa uelewa
Msingi wa kuandika hayo ni kwamba Tz hatuna sehemu ktk katiba yetu kwa raisi kutumia rasilimali zake kwa mambo ya umma. Pia ccm ndo imekua na dhamani ya kuongoza kwa muda sasa na bado ina mapungufu ya kutosha tu hivyo bado binafsi sikubali kwamba ni bora kiasi cha juu bado tunahitaji changamoto mpya ktk katiba yetu ili tuweze kufanya bora. Hiyo tatu inavutia na bado ndo tunachofanya mpaka muda huu ila tatizo ni kwamba katiba yetu bafo inazuia kufanya kilicho sahihi. Ndo msingi wa nnachomaanisha mkuu.
 
Back
Top Bottom