Mapendekezo, ungependa nini cha kufanyiwa kazi ambacho kitaleta mabadiliko ya kiuchumi kwa haraka katika Serikali ijayo 2020 - 2025?

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,504
3,499
Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika,

Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi tazama

Lakini katika utendaji huwenda kuna kuzunguka mbuyu na Wakati kumbe kungelifanyika kitu ambacho kingerahisha Sana kuelekea Uchumi wa Kati, yu mkini yapo ambayo yamefanywa ambayo sio,yametuchelewesha kuingia Uchumi huo wa Kati, na sasa tunapokwenda kuingia katika uchaguzi wa Raisi, wabunge na madiwani, na Kwa sababu itakuwa ni serikali mpya,

Je, kama mtanzania, kwako wewe ungependekeza Jambo gani ambalo unazani ni la mhimu ktk serikari ijayo ilifanyie kazi, na pengine kutuingiza kwenye uchum wa Kati Kwa haraka,

Je, ni mradi upi ambao Kwa huo, ni haraka kama Taifa tutaelekea uchumi wa Kati,
 
Back
Top Bottom