kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,171 Reaction score 15,610 Jun 17, 2020 #2 Yaani vitambulisho vya kupiga kura wanapita mitaani kuhamasisha,lakini vitambulisho vya NIDA mpaka utoe fedha watanzania amkeni haraka sana
Yaani vitambulisho vya kupiga kura wanapita mitaani kuhamasisha,lakini vitambulisho vya NIDA mpaka utoe fedha watanzania amkeni haraka sana
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,525 Reaction score 89,044 Jun 17, 2020 #3 kimbendengu said: Yaani vitambulisho vya kupiga kura wanapita mitaani kuhamasisha,lakini vitambulisho vya NIDA mpaka utoe fedha watanzania amkeni haraka sana Click to expand... Nyie ndio mnaitwa motivation speaker.. Tuamke Mara ngapi mkuu..?
kimbendengu said: Yaani vitambulisho vya kupiga kura wanapita mitaani kuhamasisha,lakini vitambulisho vya NIDA mpaka utoe fedha watanzania amkeni haraka sana Click to expand... Nyie ndio mnaitwa motivation speaker.. Tuamke Mara ngapi mkuu..?