Budget ya Serikali ilivyouacha Utalii hoi

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Budget ya Serikali iliyopitishwa na Wabunge kwa asilimia 98 imeacha Sekta ya Utalii hoi. Janga la Corona limeharibu sekta ya utalii zaidi kuliko sekta zingine. Sasa sijui waziri ndio hajaongea na wadau na kuwasilisha maoni au sijui tatizo ni nini?

Jambo la muhimu inatakiwa ni kufufua utalii kwa matangazo na bei kupunguza, kusaidia kampuni za wazawa na changa.

Serikali inatakiwa kutazama utalii kama Lango kuu la kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa wingi.
 
Still sekta ya utalii bado ipo hoi...full recovery bado.

Itarecover yenyewe?

Angalia hatua zinazochukuliwa na mataifa

Kenya wameondoa landing fee ili tickets za ndege ziwe rahisi

Rwanda wamepunguza Gorilla fees

Taarifa.rw
 
Waziri analinda jimbo, akimaliza uchaguzi atarudi..
Tembelea tu website ya wizara ndiyo utajua tunafeli kwa kiwango gani??

Badala ya kupitisha mipichapicha ya kionyesha airports zipo vizuri kuzuia maambukizi ya COVID-19 na hotel zina comply na maelekezo ya wizara ya afya or WHO,

Website ina mapichapicha ya viongozi wa wizara, juu na chini..
Huo utalii unapromotiwa hivyo?? Siasa

Everyday is Saturday............................ :cool:
 
Ndugu inaonekana hujui Industry ya Utalii, yaani hujui watalii wanatoka wapi.

Kama hujui Bora ukae Kimya, wanaojua watachangia.
Sijauliza hilo swali peke yangu ila hata hujiulizi hilo! Hujui hata situation ya sasa ilivyo.Nadhani hata sekta ya utalii haupo!
 
Nchi nyingine zineweka tahadhari kuwa wageni wa mahotelini wanashauriwa kula vyumbani mwao badala ya kwenda dining/restaurant. Chakula kitaachwa mbele ya mlango kisha unapigiwa simu.

Baa unanunua vinywaji kwa kulipia kwenye app na unakwenda counter kuchukua tu kinywaji chako.
 
Wizara ya Uvuvi na tozo mmifugo wameshushabali mbali

Wizara ya Viwanda na Biashara wamepunguza Ada za maonyesho Saba Saba.
Kigwangala ndio amefanya Nini kwenye Utalii?

Idadi ya watalii Ni 1800 tu, wakati Africa kusini, Mauritius, Seychelles, Morocco, wanazidi million 4.

Kwa Sasa Corona imeathiri uchumi wa Dunia. Rwanda wamepunguza park fee

Kenya wamepunguza landing fee

Kuwa mzalendo...tetea nchi yako.

Viongozi tumsaidie Rais Wetu
 
Back
Top Bottom