Unaweza kusema ndio mvua kubwa tangu tuanze mwaka 2020 na imeanza kwa kasi kubwa tangu saa kumi usiku na bado inapiga, nimepita mitaa ya Mlandizi, Kibaha, Mbezi Mwisho, Ubungo hadi nafika katikati ya Jiji mvua inatwanga tu.
Njia zote zimejaa maji na hasa pale Jangwani na maeneo mengi, hii...
Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko
Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali haitaongeza muda wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole, huku akitahadharisha kuwa katika siku zilizosalia, kasi ya wizi wa kimtandao kupitia simu za mkononi umeongezeka.
Amesema hayo jijini Dar es Salaam...
Kampuni ya uchimbaji madini ya Indina Resources kutoka Uingereza imeitaarifu serikali ya Tanzania nia yake ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi kwa ukiukwaji wa mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza.
Kampuni inaituhumu Tanzania kwa kukiuka kitu kinaitwa protection and...
Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani?
Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma.
Msaada tafadhali
====
Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa.
Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula.
Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten...
Kampuni ya uchimbaji dhahabu kutoka Canada, Winshear Gold Corp imeitaarifu serikali ya Tanzania nia ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa baada ya sserikali ya Tanzania kukiuka mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Canada.
Kinacholalamikiwa hasa ni sheria mpya ya madini...
Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi.
Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini .
Vyama vya...
Tehran. Muda mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka kiongozi wa juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao.
Ndege aina ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la...
Namaanisha mwanafunzi mwenye division one kutoka shule ya kata ni hazina ya taifa kama ataendelezwa kikamilifu.
Hii ni kwa sababu anaweza kutumia mazingira magumu kama changamoto na changamoto hiyo anaitatua kikamilifu na kwa usahihi sana hivyo IQ yake ni kubwa mno tofauti na wa mazingira...
Serikali ya Naijeria imethubutu kwa kutoa tamko kwamba wanakwenda kutoa ruhusa kwa makampuni ya vizimbuzi nchini humo kuwa na haki ya kumili ki maudhui ya urushaji Epl na Uefa na si DStv pekee Kama ilivyo sasa.Na sisi iwe hivyo tumepigwa vya kutosha jamani .
Sasa hivi DStv wamepunguza Bei baada...
Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali.
Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
Mwaka 2020 wapinzani tukishinda serikali tunawaahidi watanzania kuanzisha kodi mbili mahususi
1. Kodi ya Kuboresha Elimu
2. Kodi ya kuboresha Makazi
Kodi ya kuboresha Elimu
Miaka ya 80, 90 ilikuwa kusoma shule za serikali ni ufahali na kusoma shule za private ni fedheha lakini leo hii...
Watoto wa mitaani hawatendewi haki, walipaswa kuwa shule ila wanaachwa kuzagaa hovyo bila muelekeo. Watoto hawa wanapaswa kuwa chini ya uangalizi, RC yupo, ustawi wa jamii wapo, wanakula mishahara na kupishana chooni tu. Tunataka maelezo, mnakwama wapi?
Napaza sauti kwa niaba ya watoto hawa...
Ni kweli tunahitaji watoto wote nchini wasome wapate maarifa ya kulijenga zaidi Taifa letu. Ni kweli kuwa siyo kila mmoja wao atahitajika afike Sekondari ndio awe na maarifa ya kujenga Taifa. Msingi Mkuu wa kuingia Sekondari ni ufaulu wa kutosha wa mitihani ya kumaliza shule za msingi.
Msingi...
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa, kwa mfano, nikilipia kitu Google Playstore au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?
Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
Mwenyekiti taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema ameitaka Serikali ya Tanzania kumlipa Sh2 bilioni kama fidia ya kesi alizowahi kusingiziwa chini ya Serikali ya awamu ya tatu ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Mbali na fidia pia amemuandikia barua Rais wa Tanzania, John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.