serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza magari 130 yaliyotaifishwa yagawanywe kwenye Taasisi za Serikali

    .
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali inastahili pongezi kukarabati reli ya Tanga na Arusha, lakini tunawakumbusha huduma hii haikufa kwa sababu ya tatizo la reli, tusibweteke

    Ni mambo machache ambayo huwa naipongeza serikali ya raisi Magufuli, na suala la kukarabatiwa kwa reli ya kwenda mikoa ya kaskazini, hususa Tanga, Kilimanjaro (Moshi) na Arusha litakuwa mojawapo. Hongereni sana. Hata hivyo, nataka kumkumbusha Raisi Magufuli na serikali yake, na mashabiki wake...
  5. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali na CCM wanapanda mbegu ya visasi na vita ya wenyewe kwa wenyewe, uchukuaji na urejeshaji wa fomu umekuwa vita?

    Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI? Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo. Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
  6. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Wananchi Igingilanyi walia na Serikali kuhusu malipo duni ya fidia za nyumba zao kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Iringa

    Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 4,000 wameng’atwa na mbwa katika kipindi cha mwaka mmoja wilayani Moshi, Serikali kuanza kuwaua mbwa hao

    ZAIDI ya watu 4,000 wameng’atwa na mbwa katika kipindi cha mwaka mmoja wilayani Moshi huku wafugaji wa wanyama hao wakitakiwa kuwapa chanjo kabla ya utaratibu wa kuwaua haujaanza. Aidha imebainika asilimia kubwa ya wanaong’atwa na mbwa hao ni wanafunzi nyakati za asubuhi wanapokwenda shule...
  8. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Halmashauri Nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni

    Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao. Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi walalamikia gharama za usafirishaji wa abiria kuongezeka. Waiomba Serikali kupitia upya sheria ya usafiri

    CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kuna umuhimu kwa serikali kupitia upya na kushirikisha wadau kikamilifu kuhusu kanuni za sheria ya usafiri, ili kuondoa tozo zitakazoongeza gharama za uendeshaji kwa usafirishaji wa abiria. Kwa mfumo mpya, kwa sasa tiketi za usafiri...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Yanga inakufa Serikali iingilie kati kuiokoa

    Jamani Kama mjuavyo Simba na yanga ndio mihimili ya soka Tanzania. Mpira Tanzania ni maisha ni siasa ni uchumi usalama na amani. Bila yanga imara hata sisi Simba hatutakuwa na raha. Naitahasharisha serikali iingilie Kati kuiokoa yanga inaenda kufa kabisa itakuwa Kama mji mpwapwa tukuyu stars...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu mtu anaweza kuchukua hii nchi au anaweza kusababisha mambo yatakayosababisha mageuzi kutokea katika hii nchi

    Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu. Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani...
  12. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inajua athari za uchafu wa maji yanayosambazwa na Mamlaka za Maji Nchini?

    Habari wana JF, Nilikuwa nasafisha tanki yangu ya kuifadhia maji, of cause baada ya sedimentation, ni udongo wa kutosha. Now, natafakari mtu akinywa say litters 2000 za maji ya DAWASA kwa muda wa fulani say 20 years, si atakua amehifadhi kiasi kikubwa cha udongo achilia mbali sumu nyingine...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ili kuboresha Elimu nchini Tanzania

    Wadau heshima kwenu. Taifa lolote likitaka kufanikiwa ni lazima liwekeze kwenye elimu. Uongozi wa awamu zote umefanya ulivyoweza Kuboresha elimu nchini Tanzania. Serikali ya awamu ya tano nayo haiko nyuma na imejitahidi sana katika Kuboresha elimu. Serikali ya awamu ya tano ndiyo inayotekeleza...
  14. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM na Serikali yake tulikosea. Kwa hili lazima Lissu atupige bao

    Kati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi. Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe kutumaliza. Maelfu ya vijana wanaojitokeza kwa wingi kwenye hadhara za bw. Tundu Antipas Lissu ni...
  15. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mara ya kwanza gharama zote za Uchaguzi Mkuu kulipwa na Serikali

    Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitumia jumla ya Shilingi 534,499,415,599/= katika zoezi zima la Uchaguzi Mkuu. Pesa kati ya...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Funzo la mapinduzi toka nchini Mali: Maafisa waaandamizi wa Serikali ya Tanzania tendeni haki na kwa usawa kwani hamuijui kesho yenu

    Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

    Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais...
  18. Gavana

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa tena kuwaleta Mahakamani watuhumiwa wa Ugaidi, yasema italihamisha shauri Mahakama Kuu

    SERIKALI YASHINDWA TENA KUWALETA MASHEIKH MAHAKAMANI. Mawakili wanaowatetea Masheikh (Uamsho) walifika Mahakamani leo kama kawaida yao. Hata hivyo serikali haikuwaleta viongozi hao wa Dini kutoka gerezani. Shauri lilipoitwa mbele ya hakimu upande wa serikali ulidai kuwa sasa wanashughulikia...
  19. Bosco Ntaganda

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kudhibiti matukio ya Kifedhuli yanayoendelea Nchini?

    Ndugu zanguni, katika kipindi cha hivi karibuni sote tumeshuhudia matukio ya KUOGOPESHA yakiendelee nchini. Kwa uchache tu, kupotea kwa vijana walioonekana kuikosoa serikali kama Ben Saanane na wengineo, kuchapwa mvua za risasi Lissu mchana kweupe (tena katika makazi ya viongozi), viongozi wa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

    Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
Back
Top Bottom