serikali

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kuzuia Serikali isinunue Ndege kwawaponza upinzani kupata misaada toka nje

    Mataifa ya nje ukiharibu biashara zao wanakuwekea vikwazo na kukunyima misaada Safari mataifa ya ulaya na Marekani wamegoma kutoa misaada ya Hali na Mali kea vyama vya upinzani Tanzania Baada ya wao kupinga bungeni na nje ya bunge kuwa serikali isinunue Ndege za bombarier na Boeing Sasa hivi...
  2. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

    Sana JF. Wafanyabiashara ya mafuta ni dhahili kwamba Serikali kuoitia waziri wake pamoja na taasisi yake EWURA wameshindwa kutimiza wajibu wake, Dar sasa haina mafuta, ikitokea la kutokea mji mzima hakuna mafuta. Bagamoyo road yote karibu Sheri nyingi zimegoma kuleta mafuta. Watanzania wengi...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

    Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya --- Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Je, ndani ya Serikali ya Awamu ya Tano yumo mtu au watu wenye gubu?

    Gubu ni neno la kiswahili ambalo tafsiri yake ni mtu kuwa na hasira na kupaniki hovyo hata kwa jambo ambalo ni la kawaida. Mtu huyo mara nyingi ni mgomvi mgomvi, mlalamishi, anayenuna nuna hasa pale anapoelekezwa jambo, kuadhibiwa kwa kosa lake au kuonywa! Hivyo gubu siyo tusi. Sasa basi...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali, katika hili tuwawahi Wakenya kwa KO kabla hawajatuwahi wao

    Tufunge biashara zao zote TZ. Hakuna kuuza wala kununua. Inawezekana ktk biashara hizo wakatufanyia hata hujuma. Ili kuonesha kuwa TZ kuna maambukizi makubwa ya Corona. Tanzania haitegemeni uwepo wa Kenya nayo iwepo. Kwa miaka mingj hawa jamaa wamekuwa wakituona Tz kama wanyonge wao...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 14 kwa Bodi ya Nafaka kukamilisha malipo ya Wakulima wa Korosho

    Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea na kukagua shughuli za utendaji kazi...
  7. Bandamwagaz

    JamiiForums Tanzania Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  8. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

  9. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

    Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mihayo: Wasimamizi wa Uchaguzi wasipokee maagizo ya kuvuruga Uchaguzi kutoka kwa Viongozi wa Serikali

    Kamishna wa Tume ya uchaguzi NEC Mhe. Jaji Mihayo amewataka Wasimamizi wa Uchaguzi kuwashirikisha Viongozi wa Vyama vya Siasa pale inapostahili kufanya hivyo ili uchaguzi uweze kuwa Huru na Haki. Kadhalika Jaji Mihayo amewaasa wasimamizi hao kutopokea maagizo kutoka kwa Viongozi wa Serikali...
  11. iparamasa

    JamiiForums Tanzania Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

    Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam. Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
  13. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Mwenyekiti wa Chama...
  14. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Jeshi la Polisi kwa kutumia busara kubwa badala ya nguvu

    Asubuhi nilitoa mada yenye kichwa "Tunasubiri kuona busara ya jeshi la polisi wakati wa kurejea kwa Lissu" Niseme wazi kwa mara ya kwanza jeshi la polisi limetumia busara kubwa kutozuia na kuingilia mapokezi ya Tundu Lissu. Hiki ndicho wengi tulikuwa tuna kitaka. Polisi wakijiweka kando katika...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hapana: Serikali bado haijampa heshima stahiki Mzee wetu Benjamin Mkapa

    Rais Mstaafu kafariki, Taifa limetangaziwa msiba huu mzito, kesho yake shughuli za serikali zinaendelea kama kawaida. Hata watoto kwenda shule wakaenda! Ligi za mpira zinaendelea wakati mwili wa mzee wetu ukiwa umelala katika viwanja vya uwanja pale Uhuru Stadium Mwili wa Mzee wetu unatolewa...
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Udikteta na ukandamizaji haki wa Serikali za vyama kongwe vinavyotawala hadi leo. Sababu...

    Mifano ni mingi lakini chukulia chukulia mifano ya hivi vyama na inchi husika hapa chini . 1. CPDM cha Cameroon 2. CCM cha Tanzania 3. ZANUPF cha Zimbabwe 4. Frelimo cha msumbiji 5. PDG huko garbon Utagundua kwamba inchi zote tajwa hapo juu serikali zao zinaongozwa na vyama kongwe vilivyopokea...
  18. Patriot

    JamiiForums Tanzania Biashara katika Siasa na ajira ya Serikali katika Siasa

    Nimesikiliza kilio cha waajiliwa wa serikali walioonesha niya ya kutaka kugombea nafasi ya Ubunge baada ya kujikuta wanakatiwa mshahara wa mwezi July. Serikali iko sahihi maana kuna mwongozo wa aina hiyo. Tatizo ni kwa nini serikali iliweka mwongozo wa kibaguzi aina hiyo? Yaonekana serikali...
  19. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

    Wakati Watumishi wote Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Shujaa aliyeona umuhimu wa kuimarisha Serikali za Mitaa

    Kwaheri Ben! Katika mambo ambayo uliyafanya na hatutasahau ni pamoja na kuona umuhimu wa kuziimarisha Mamlaka za Serikali za Mitaa. Mwaka 1998 Rais Mkapa alianzisha mpango ulioitwa Local Government Reform Program Tanzania. Mpango huu ulikuja wakati muafaka maana kipindi hicho Halmashauri...
Back
Top Bottom