Sababu kuu ni kwamba mifuko hiyo iko hoi.
Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu.
Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati...
Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi.
Serikali ya kijeshi iliunga mkono mkataba wa serikali ya mpito ya miezi 18 iliyo afikiwa Jumamosi...
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
Ndugu zangu! Sote tunafahamu kazi kubwa ya wandisi wanaohitimu katika vyuo vyetu ajira zao nyingi zilikuwa zinapatikana kupitua kampuni za ujenzi.
Kumbukeni miradi mingi katika nchi ni ile ya serikali, kama zahanati, barabara za vijijini, majengo ya madarasa, mabweni, na shughuli nyingine...
Serikali ya kijeshi ya mali imelazimishwa na mkataba wa kisiasa kuanzisha serikali ya mpito ya miezi 18 ambayo inaweza kupelekea kuteuliwa kwa mwanajeshi kama Rais wa mpito , licha ya mapingamizi kutoka kwenye muungano uliofanya maandamano ya kuipinga serikali kabla ya mapinduzi ya kijeshi...
Naomba kwanza suala mishahara ya watumishi wa serikali lieleweke tu kuwa si la kulichukulia mzaha mzaha na kulibeba tu kuhamia nalo majukwaani!
Kuna mambo makubwa matatu hapa yamejitokeza tuyachambue kwanza:
Annual increment:
suala hili namlaumu President Magufuli kwa kuwa amelichukulia mzaha...
Natumaini mko salama.
Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kuhusu mamlaka za kiserikali hasa zinazolaumiwa zaidi. Kwa muda mrefu Mamlaka hasa TCRA na TRA zimekuwa zikitupiwa lawama wanapofanya kazi zao kwa mujibu wa sheria. Binafsi naona hawastahili kulaumiwa endapo hakuna...
Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista,
Ni...
Baada ya malalamiko na masikitiko ya wananchi kuhusu kipande cha barabara eneo la Mnadani - Kigamboni kilichokuwa kimefungwa kusubiri uzinduzi ilhali ujenzi wake kukamilika!
Hatimaye rasmi leo barabara hiyo imefunguliwa
Tunashukuru sana serikali ya awamu ya tano kwa kusikia kilio cha...
Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi
SERIKALI wilayani Bunda mkoani Mara imetoa mikopo kwa vikundi vya wajasiliamali kiasi cha zaidi ya Tsh. milioni 600 zinazotokana na fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri na Serikali kuu.
Serikali...
Salaam Wakuu.
Hivi serikali ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania haiwezi kuanza kuongeza mishahara ya watumishi kwa kigezo cha kuangalia matokeo ya utendaji ya mwajiriwa?
Maana hii kuwaongezea tu wote kwa pamoja bila hata kutazama matokeo ya utendaji inawaua nguvu hata wale watumishi ambavyo...
"Katika kipindi Cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, biashara haitoki, hakuna mzunguko wa fedha unaokidhi mahitaji, tunahitaji kuibadilisha hali hiyo".Prof. Lipumba-Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
RAIS MAKINI
SERIKALI MAKINI
Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali
Prof. Lipumba amesema...
Inakuwaje wanaJF!
Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini.
Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo.
Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
Ukweli lazima tuuseme ili tuinusuru nchi yetu isiwe kama Rwanda na Burundi ama hata South Africa zilivyokuwa siku za huko nyuma. Tutakuwa tumeirudisha nchi yetu miaka 60 nyuma!
Uhasama mkubwa na wa kutisha uliokuwepo kati ya Watusi na Wahutu katika nchi za Rwanda na Burundi ulijikita katika...
Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya "
Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
askari
ccm
kauli
kinywa
kuhusu
lissu
lisu
maana
mama samia
nani
rais
rais samia
risasi
samia
samia suluhu hassan
serikali
tanzania
tundu
tundu lissu
tundu lisu
video
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.