Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni
SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao.
Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kuna umuhimu kwa serikali kupitia upya na kushirikisha wadau kikamilifu kuhusu kanuni za sheria ya usafiri, ili kuondoa tozo zitakazoongeza gharama za uendeshaji kwa usafirishaji wa abiria.
Kwa mfumo mpya, kwa sasa tiketi za usafiri...
Jamani Kama mjuavyo Simba na yanga ndio mihimili ya soka Tanzania.
Mpira Tanzania ni maisha ni siasa ni uchumi usalama na amani.
Bila yanga imara hata sisi Simba hatutakuwa na raha.
Naitahasharisha serikali iingilie Kati kuiokoa yanga inaenda kufa kabisa itakuwa Kama mji mpwapwa tukuyu stars...
Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu.
Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani...
Habari wana JF,
Nilikuwa nasafisha tanki yangu ya kuifadhia maji, of cause baada ya sedimentation, ni udongo wa kutosha.
Now, natafakari mtu akinywa say litters 2000 za maji ya DAWASA kwa muda wa fulani say 20 years, si atakua amehifadhi kiasi kikubwa cha udongo achilia mbali sumu nyingine...
Wadau heshima kwenu.
Taifa lolote likitaka kufanikiwa ni lazima liwekeze kwenye elimu. Uongozi wa awamu zote umefanya ulivyoweza Kuboresha elimu nchini Tanzania. Serikali ya awamu ya tano nayo haiko nyuma na imejitahidi sana katika Kuboresha elimu.
Serikali ya awamu ya tano ndiyo inayotekeleza...
Kati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi.
Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe kutumaliza.
Maelfu ya vijana wanaojitokeza kwa wingi kwenye hadhara za bw. Tundu Antipas Lissu ni...
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitumia jumla ya Shilingi 534,499,415,599/= katika zoezi zima la Uchaguzi Mkuu. Pesa kati ya...
Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais...
SERIKALI YASHINDWA TENA KUWALETA MASHEIKH MAHAKAMANI.
Mawakili wanaowatetea Masheikh (Uamsho) walifika Mahakamani leo kama kawaida yao.
Hata hivyo serikali haikuwaleta viongozi hao wa Dini kutoka gerezani.
Shauri lilipoitwa mbele ya hakimu upande wa serikali ulidai kuwa sasa wanashughulikia...
Ndugu zanguni, katika kipindi cha hivi karibuni sote tumeshuhudia matukio ya KUOGOPESHA yakiendelee nchini. Kwa uchache tu, kupotea kwa vijana walioonekana kuikosoa serikali kama Ben Saanane na wengineo, kuchapwa mvua za risasi Lissu mchana kweupe (tena katika makazi ya viongozi), viongozi wa...
Hello JF,
Ningependa kujua sera ya kilimo ya serikali hii ya Magufuli kama ipo?
Leo sijui mtalionaje hili wazo..au kama lishawahi kufanywa before?!
..ila ningependekeza serikali kuwa na Supermarkets zake:rolleyes::rolleyes:
😂😂😂
Watu wanunue na kuuza huko.
Iwe cheap compared na supermarket...
Wadau,
Ni almost miezi Tisa tangu Tanzania ifanye uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama mtakumbuka, uchaguzi huu uligubikwa na kila aina ya hila na vituko.
Matukio kabla ya Uchaguzi
Miongoni mwa matukio ya makubwa ilikua ni pamoja na kuenguliwa kwa Wagombea wa upinzani kwa kigezo cha kukosea...
Habari,
Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu.
mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo:
Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.
Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo...
Habarini za Tarehe 14 hii ya leo wapendwa?.
Kwa namna Jeshi la Polisi limetenda kumkamata Joseph Mbilinyi kule mbeya Katika mazingira ambayo wala hayakuhitajika kumkamata mgombea huyo wa ubunge aliyeenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge baada Ya kupitishwa na chama chake
Mitazamo kadhaa...
Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote.
Imefikia...
Mada inahusika.
Kumekuwa na wimbi shutuma la kuminywa kwa habari kwa vyombo mbali mbali lakini vile vile kumeonekana upendeleo wa wazi.
Kuna haya magazeti likwemo la "TIMES OBSERVER" "JAMVI LA HABARI", "LA JIJI" na mengineyo yamekuwa yakikiuka taratibu za uandishi na hatujaona hatua za wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.