Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua.
Mkusanyiko wa mahali hapo ulikuwa ni mkubwa kiasi kwamba kaa kuna wstu wana virusi...
Unachambua mchele ukitegemea kuona mawe kwa kutumia taa ya kandili ujue unaumiza macho. Maana ina mwanga hafifu tofauti na stima.
Je, ni rahisi kuibananisha na kisha kuihukumu Serikali inayojiwajibisha yenyewe? Hapana, maana serikali makini inajisimamia inavyotakiwa.
Huwezi kusikia ufisadi wa...
Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
Kiukweli serikali ya awamu ya tano chini ya JPM imefanya mambo makubwa sana katika nyanja ya kuboresha miundombinu na huduma za afya kitu ambacho kila mwananchi anatambua hilo bila ubishi.
Ila bado vijana wanaonekana kama kundi lililosahaulika ,japo ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inasema...
Nilimsikiliza Rais katika ufunguzi wa kitu cha mabasi Magufuli kule Mbezi akitambua mchango wa mama lishe katika jamii.
Mama lishe wengi wanatengeneza chakula katika hali ngumu sana. Wengi wanatumia kuni kama nishati ya kupikia, sshemu wanazopikia ni duni na mvua ikinyesha wanapata adha...
Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari.
Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo.
Leo hii...
Rais wa JMT ameyasema hayo wakati akizungumza na watanzania kupitia hadhara iliyokusanyika jana viwanja vya mnazimmoja.
Rais Magufuli amesisitiza kuwa kwa sasa hapa Tanzania kuna vyombo vingi vya habari ambavyo vimepewa leseni za kufanyia kazi na hii ni ishara kuwa kuna uhuru mkubwa wa habari...
Baada ya Rais kulivunja jiji la Dar, nini hatima ya meneja wa Tanesco mkoa wa Kinondoni, Ilala, na Temeke? Nini hatima ya RPC mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke?
Nini hatima ya meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Je, ni nini hatima za wakuu wa idara za Halmashauri mfano afisa...
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini, lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme.
Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda...
Kukosekana kwa serikali ya umoja ambayo itathibiti political instability, usaliti ,uzalendo kwa bara letu kunatufanya tuwe maskini.Nchi za magharibi zimekuwa zikitugawa ili waendelee kuiba rasilimali zetu na wao kuwa super power economically.
It is time tuwe na serikali moja itakayoongoza...
Serikali mkoani Morogoro imeagiza mtoto Charles Mathias mwenye umri wa miaka 6 arushwe darasa kutoka Chekechea hadi darasa la kwanza baada ya kuonyesha kipaji kikubwa kwenye somo la Hisabati.
Afisa tawala wa mkoa bwana Kobehelo amesema agizo hilo lianze kutekelezwa mara moja.
Naye mbunge wa...
Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema kuanzia kesho wataanza kumwaga viatilifu vya kuuwa nzige katika wilaya ya Longidi na Simanjiro kwa kutumia ndege.
Shule zitafungwa kwa muda wa siku nne na wananchi wanaonywa kutookota nzige na kuwala.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
------...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo.
Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli.
Amesema kama hauna uhakika na...
Hili suala Serikali iingilie kati ili kuokoa madhara ambayo yanaweza kuja tokeo siku za uson.
Kumeanzishwa harakati za kutupaka matope,kutupaka choo,kutuua kimaneno,kutudhalilisha na kututweza sisi wenye miili ya mazoezi.
Watu wembamba,mabonge na walegevu wanakaza sana kutuharibia image...
Picha zinajieleza.
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu wengine taasisi mbalimbali za umma.
Najiuliza ni maelekezo ya serikali? Ni bahati mbaya? Ni kumuunga...
Binafsi niliamini Naibu Spika Dkt. Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali.
Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao...
Kuna upotoshaji mbaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili na kusababisha taharuki kwa watanzania.
Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku zote hawana nia njema na Tanzania kwa sababu zao ambazo hazina mashiko.
Kila mtu anajua sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.