Kwanini serikali isiwaombe CHADEMA iwasaidie kuzungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa?

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Sio siri ninavyoona mimi CHADEMA wakizungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kila mkoa tutapata fedha za kutosha, tusikae tukaona aibu au kujifanya tunaweza, inawezekana tukubali matokeo na tuombane msamaha kama kuna sehem tumekosea na hatukujua itasababisha mengine kukwama ili tufanye mengine kwa pamoja.

Nimeona kabisa vyama vingine vimegoma kuzungumzia uhaba wa madarasa maana wanajua kuna maneno makali sana yatatokea na hawako tayari kuyavumilia. ila ndivyo tumechagua hivi sasa tumejifunza hatutarudia tena.
 
Kwan humfrey pole pole na bashiru ally wanasemaje kwenye hili??????
 
Kwan humfrey pole pole na bashiru ally wanasemaje kwenye hili??????
Unadhani watathubutu kuliongelea kama wao wanaume wasimame waongee watapokea maneno ambayo hawajawahi sikia masikion mwao
 
Kwa upande wangu naona YANGA (Utopolo) wangefanikisha vizuri zaidi utembezaji wa hilo bakuli

Utopolo wana historia nzuri kwenye utembezaji mabakuli
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom