UN watoa wito kwa Serikali kuwalinda wanahabari

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa tangu kuwepo kwa janga la #COVID19 vyombo vya habari vimekuwa vikipewa nafasi finyu.

Ameandika kuwa wafanyakazi wa vyombo vya habari wamekuwa wakipata mazuio na adhabu katika kutimiza wajibu wao.

UN wanatambua umuhimu wa wanahabari hasa kwa kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus hivyo wanatoa wito kwa serikali kuwalinda waandishi wa habari ili kukuza uhuru wa habari.
 
Back
Top Bottom