serikali

  1. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, tuanze kujadili uwezekano wa kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa/Mseto?

    Habari za wakati huu, Najua kwa wenye macho tayari wameanza kuona kitu hakiko sawa. Kwa wale waelewa tayari wameanza kuona dalili za nchi kupoteza uelekeo. Nianze kwa kuelezea hali ya Upinzani. Upinzani wa mwaka huu sio sawa na wa miaka ya nyuma. Ni upinzani uliokomaa, na ulio tayari kwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...

    Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo! Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kikwete ashauri Serikali kupunguza gharama za matibabu kwa watoto wenye Usonji hasa hospitali za Serikali ambazo zinatumia kodi za wananchi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo. Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
  4. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Serikali inayokuja isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiri

    Habari JF... Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu.. Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali.. Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali 2020-2025

    Habariiii Ndugu wananchi ninaomba kushauri mambo yafuatayo kwa serikali kuanzia 2020-2025. 1.Iajiri maafsa wa kukusanya mapato wengi mpaka ngazi ya kata,kijiji na mtaa.Kazi yao kubwa itakuwa kukusanya mapato kwa ufanisi kulingana na sheria na kanuni zinavyosema.H...
  6. hayaland

    JamiiForums Tanzania BBC, habari za moto Mlima Kilimanjaro anaripoti mwandishi kutoka Kenya, ni sahihi?

    Nilikuwa nafuatilia habari za BBC London katika television. Cha kushangaza habari ya mlima Kilimanjaro na harakati za nchi kuzima moto katika mlima huo mkubwa barani Afrika ameripoti mwandishi Emmanuel Igunza kutoka nchini Kenya. Nimejiuliza sana kwa nini habari za Tanzania aripoti mwandishi...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania CCM ikishinda uchaguzi Serikali yake ifafanue kipengele kwa kipengele suala la Tundu Lissu kupigwa risasi

    https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/ Kama tunavyofahamu tarehe ya uchaguzi 28/10/2020 ndio siku ya kuchambua kati ya mchele na pumba. Hiyo siku ya uchaguzi itakuwa ni siku ya jumatano ambayo kikalenda ni siku nzuri sana kwa wale wapenda nyota. Pia kwa zile sherehe za wenzetu...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Serikali kupokea Tsh Bilioni 100 kutoka Barrick, sehemu ya Bilioni 700 ya kishika uchumba

    Serikali inatarajiwa kupokea Dollar million 40 au shilingi Billioni 100 kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dollar Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali ili kumaliza mgogoro wa madini.
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RC Singida: Serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani ya nchi

    MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amesema serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi aliyasema hayo alipohutubia wananchi, wazazi na wanafunzi wakati wa sherehe za mahafali ya...
  10. Guus

    JamiiForums Tanzania Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS

    Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili ametangaza rasmi kuvunjwa kwa kikosi hiko. SARS, ambacho kilikuwa kitengo maalumu chini ya jeshi la...
  11. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Serikali ya awamu ya tano imewajali masikini?

    Watu wengi sasa wameona na wametofautisha ni wakati gani kati ya awamu hii na ile iliyopita ya KIKWETE ni wakati gani umasikini umekolea vzr na majibu yako wazi na yanajulikana wala hayahitaji mtu apewe michoro ili aelewe vzr. Serikali ya awamu ya tano ilijinasibu,na imeendelea kujinasibu kuwa...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Nimekosa imani na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Inawezekana hata picha za SGR anazotuletea ni za uongo. Hali halisi.
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Sera za uchumi za Magufuli sio rafiki na haziwezeshi upatikanaji wa ajira nje ya mfumo wa Serikali

    Nilipoandika kuhusu kufungwa kiwanda cha tumbaku Morogoro mjini na karibia ajira 1000 kupotea wale wenye vyama vyao kama kawaida yao wakaleta siasa. Watu hao 1000 wapo mtaani. Pembeni yake palikua na kiwanda cha kutngeneza nguo. Hicho nacho kimesimamisha uzalishaji ingawa kwa hicho sababu...
  14. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali ya Tanzania tuwe na barabara chini ya bahari toka Dar es laam mpaka Zanzabar hadi Mafia

    Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari? Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Serikali imeua viwanda vyote hapa Tanga, nikiwa Rais nitasimamia kwa makini sekta ya kilimo na maendeleo ya viwanda

    SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
  16. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiruhusu watu na kampuni binafsi wanunue kahawa mkoani Kagera?

    Kuna mambo mengine nchi hii yanashangaza na kusikitisha kweli. Mtu kalima kahawa zake, kwa pesa zake na nguvu zake halafu unampangia amuuzie nani. KCU imekusanya kahawa za wakulima halafu huu karibu mwezi wa 3 hawajawalipa pesa yao. Hiki chama cha ushirika hakina maana tena bora waache watu...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano imeshughulikia maslahi ya Wananchi

    Maoni na ushauri wangu kwa wananchi ni kuwa pamoja na Ukinzani wa hoja potofu kuwa Serikali ya Dr. Magufuli imefanya mambo mengi yanyohusu maslahi ya watu. Kwa mfano tumeshuhudia Rais na mawaziri wakitatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Lakini pia miradi iliyoanzishwa imeelekezwa kwenye...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Habari wadau, Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu. Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
  19. Tetra

    JamiiForums Tanzania CHATO: Mwanafunzi kufanya mitihani 9 kwa siku moja. Je, Shule ya sekondari Mujumuzi- ina mamlaka?

    Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa kazini baada ya walimu hao kupinga utaratibu wa shule hiyo kuwafanyisha mitihani 9 kwa siku moja...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha serikali ya Rais Magufuli kwenye sekta ya umeme

    Na Bwanku M Bwanku Wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli anaingia madarakani Novemba, 2015 na toka nchi yetu ipate uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na jumla ya vijiji 2018 tu vyenye umeme kati ya vijiji 12,268 vya nchi nzima ya Tanzania. Kuingia madarakani...
Back
Top Bottom