Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
Mheshimiwa Jaffo, wakati ule Halmashauri nyingi zikiwemo zile zenye nguvu ya kiuchumi zilipokuwa zikishikiliwa na kuongozwa na UPINZANI, Serikali yenu iliamua kuzinyang'anya ukusanyaji wa mapato. Kwa sababu hali ile haikuwa ya kawaida, wengi tulijua kuwa mlifanya vile ili kuwakomoa viongozi wa...
Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari.
Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati fulani kuwasaidia wasiingie gharama ya kwenda hospital kutokana na ushauri anaoutoa lakini wasiwasi...
Habari wakuu.
Anatafutwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa za serikali kwa ajili ya kumsaidia mdau aliyeko nje ya nchi.
Unaweza kuwa mkoa wowote lakini ukiwa Dar au karibu na Dar itakuwa bora zaidi.
Compensation benefits zitatolewa kwa atakeyepata tenda.
Kwa maswali na zaidi tuwasiliane PM.
Prof. Mchembe amesema serikali imepiga marufuku hispital binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupumua.
Prof. Mchembe amesema ameona kwenye mitandao baadhi ya hospital zimeongeza bei na kutahadharisha kuwa siyo kila mwenye matatizo ya kupumua ana Corona.
Source ITV habari...
Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.
Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda.
Chanzo...
Sio sahihi raia kutilia Shaka taarifa za Serikali. Tukumbuke ina dhamana kubwa kuliko sisi wote mmoja mmoja.
Serikali inafanya Mambo kwa mujibu wa sheria na matakwa ya kikatiba kwa maslahi mapana ya nchi na taifa kwa ujumla.
Kuteleza kumo kwani Serikali haziongozwi na malaika.
Niwajibu wetu...
Napenda kuishauri serikali kuu kuzuia taasisi zake kuacha biashara ndogo ndogo kwani kufanya hivyo ni kuzuia kukua kwa biashara na wajasiliamali kwa ujumla hivyo kupunguza mzunguko wa pesa na kuikosesha serikali kodi. Mfano shirika la kusambaza maji Morogoro MOROWASA linalazimisha wananchi...
Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu Februari Mosi, 2021 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima wakati...
Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'.
Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
Mtego uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad akiuza dawa za Serikali.
Taarifa ya TMDA inaeleza kwamba Sad amenaswa kwenye mtego huo Januari 31, 2021 wilayani Newala na alikuwa akiuza dawa za Serikali za Mpango wa Uzazi.
Dawa hizo ni...
Nimekuwa nikipigia sana kelele suala la kuwa na barabara ambazo zimepakwa lami na baadaye kuja wekewa matuta Serikali iziangalie.
Ni mwaka wa tatu huu napata changamoto kila napowaza kununua gari za chini zenye speed.
Ukiangalia barabara nyingi za hapa TZ ni kama barabara za lami.ila watu...
Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo wa utoaji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini?
Ok fine, kama kiongozi wa Serikali ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar amepata Covid 19,je...
Pongezi kubwa kwa mhe Rais wetu kujenga kilometa nyingi bila kufanya maonyesho ya bila mimi msingepata barabara.
pia pongezi nyingi kwa Raisi aliyepo kwa kundelea kuchapa kazi ambayo matunda yake yameonekanana yanaendelea kuonekana. Pamoja na yote hayo hatuwezi kukosa changamoto.
Kuna maswali...
Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi?
Na kipindi aliposimamishwa alikuwa akilipwa Nusu ya Mshahara je baada yabkufukuzwa analipwa kiasi cha nusu alichokuwa akikatwa wakati wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula.
Rais Magufuli ametoa...
Hili ni bandiko la WITO
Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema...
Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi.
Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba.
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.