serikali

  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Shilingi Milioni 500 kufanya kampeni ya kuhamasisha matumizi ya nishati bora ya kupikia

    Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa...
  2. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Serikali iiangalie TEMESA-kuna uzembe utakaokuja kugharimu maisha kwa watumiaji wa vivuko

    Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni. Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti chakula kutoka nje ya nchi

    Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa. Sisemi watu wasiuze lakini kwa...
  4. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti kama inavyoonekana kwenye jedwari hili hapa chini. The Government of Tanzania has imposed levy on all...
  5. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Safari Automotive na ‘mkakati unaotia shaka’: Serikali chukueni hatua

    Wengi mtakuwa mmekutana na matangazo ya Kampuni hii inayomtumia mwanamke/binti akichezea ‘rungu’ la gari lakini matangazo haya yanayosambaa katika mitandao ya kijamii yakiendelea kushika kasi. Si matangazo hayo tu, matangazo yao mengi yamekuwa na mwelekeo flani kwa kutumia mabinti (ambao huenda...
  6. karv

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni huduma ya M-KILIMO

    Habari za wakati huu wanajukwaa wenzangu. Kwanza napenda kuipongeza serikali kupitia wizara ya kilimo hasa kwa kuanzisha huduma ya M-kilimo ambayo kwa kiasi kikubwa ni mkombozi kwa wakulima hasa vijijini ambako ni vigumu mabwana na mabibi shamba kufika huko. Tatizo kubwa la huduma hii ni...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Serikali inakusanyaje kodi katika zile mashine za Kichina za kamali?

    Wadau kuna hizi machine za kamali za wachina zimetapakaa kila Kona ya mijinI hadi vijijini na wenyewe utawakuta na harrier na Krueger wanakusanya hela. Je, hizi mashine Serikali wanapataje mapato yao na zinaingizwaje nchini na zina usimamizi gani wa Serikali maana hawa jamaa wanapata hela...
  8. Maho gel

    JamiiForums Tanzania Naingiaje payroll mpya ya Serikali?

    Wakuu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

    Habari wana JF, Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita. Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama mwananchi wa kawaida naiomba Serikali inieleze kiasi cha madeni nchi inayodaiwa

    Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua madeni yote tunayodaiwa kama nchi. Tangu awamu ya Sita iingie madarakani haipiti hata mwezi mmoja utasikia nchi ya Tanzania imekopa matrillioni kadhaa Hii tabia hatukuiona Awamu ya Tano na miradi ilikuwa inajengwa kama kawaida. Leo sikuamini macho...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wadau wa biashara waiomba serikali kutoipa TICTS mkataba mpya

    WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya...
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na matapeli leo

    Matapeli ya mtandao wamerejea. Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
  13. mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Unga kushuka kutoka Ksh. 230 hadi Ksh. 100 baada ya ruzuku ya Serikali

    Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18 Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4. Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

    Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi.... Update............. Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua...
  15. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Aibu: Tanzania yashika Mkia Elimu ya Juu Afrika Mashariki. Ili Kufuta Aibu Serikali yatenga Bil.972 kuongeza Udahili

    Moja kwa moja kwenye mada, Tanzania imetajwa kuburuza Mkia kwenye Udahili,idadi na ubora wa Elimu ya Juu ukilinganisha na Nchi jirani za Afrika Mashariki. Licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu ila inazidiwa hadi na Burundi na Rwanda kwenye swala Zima la Elimu ya Juu. Ili kukabiliana na Hali...
  16. Mshuza2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

    Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini) Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali yakata rufaa dhidi ya Kesi iliyokuwa ikimkabili Bosi wa Golden Tulip

    Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumfutia kesi ya uhujumu uchumi aloyekuwa bosi wa Golden Tulip, Serikali imemkatia rufaa Mahakama Kuu ikitaka kesi hiyo irejeshwe, ikidai kuwa Mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kutoa uamuzi kama huo wala kusikiliza pingamizi. Mfanyabiashara Jitesh...
  18. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

    Kwema wakuu, Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya. Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari? Yani hakuna...
  19. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia mazao kuuzwa nje kutadumaza kilimo na kuvuruga uchumi

    Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda. Sina uhakika sana kama hilo litachangia kushusha bei ya vyakula likifanyika sasa hivi, ila nina uhakika litarudisha nyuma sekta ya kilimo...
  20. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi!

    Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam. Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi...
Back
Top Bottom